@salio5860:

Samira saliyo 🥷🏾
Samira saliyo 🥷🏾
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 18:08:13 GMT
91619
3581
124
56

Music

Download

Comments

aisha.hussein560
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Alafu kuna mume wangu anawapa mimba na kuwaacha😂😂😂😂
2026-09-05 12:47:11
35
user9452932097350
user9452932097350 :
heheeeeee tuachie mimba yetu ishushe eheeheeeee🤣
2026-09-06 13:04:06
0
fatmaally92
Fatma sharifu :
🤣🤣siku izi watu hawana muda
2026-09-05 08:39:16
52
felisiakitanga
Felisia :
hiyo ndio faida ya kuwa mke halali,unajiamini mpk raha
2026-09-05 17:54:53
20
user16197428768116
GRETEL 🏝️ 2122 :
jibu zuri Tena la kibabe
2026-09-04 19:50:18
50
babyf561
🥰💘baby💞francy💕 :
safi sana ndoa aiachwi apo
2026-09-05 08:31:38
23
mydarling491
mydarling❤️🔥Taurus ♉️ :
Me aliboniambia nina mimba ya Mumeo Nikamwambia vipi hakuudumii?
2026-09-05 08:45:27
34
shue1780
shue17 :
me nilimjibu niachie hiyo mimba akija ataikuta
2026-09-05 11:29:23
9
peace.maker950
peace maker 🥰 :
:ivi kwanini wame badilisha rangi ya like wameamua kuweka bluu saizi
2026-09-05 13:41:53
29
masu4261
💕masu💕 :
hahaaaaaaaaaaaaa nimependa lilivokushuka 👌😂😂😂😂
2026-09-05 05:37:03
10
toonage2025
🌸🌸 :
huyu dada amemuweza 😂jibu ambalo halihitaji mambo mengi Yan
2026-09-05 07:11:49
14
harleyquiin77
Empress👑Aira🌬 :
content😅
2026-09-06 08:55:43
0
user8179804369923
asha maulid :
jibu safi
2026-09-04 21:01:59
9
lucybaby352
lucybaby :
Nzuri iyo😁😁
2026-09-04 23:17:09
6
priscamawanja
Wakwetu :
naanzaje kwa mfano, waliorudia mara 10 tujuane
2026-09-05 11:22:58
5
jasmine60207
jasmine :
amn kuachwa mtu apa mamaeee😂😂😂😂
2026-09-05 13:01:16
4
elizabethjohn9056
mama monica :
😂😂unamimba yake haya sawaa
2026-09-05 10:23:12
3
dafrosa33
Be smart always :
😂😂😂ndoa haiachwi just imagine
2026-09-05 03:56:15
10
miss_madini
miss_madini :
sawa🤣🤣🤣
2026-09-04 20:58:32
5
waukweli58
WAUKWELI Love ❤️ 😍 :
nashangaa wapeane huko ajee kwako daa
2026-09-05 15:55:29
2
itzpv1
Itz PV :
ila mlioolewa mnatesekaa sa n nn lkn
2026-09-05 18:56:04
2
esterharper589gmai
Ma mkalii❣️❣️❣️ :
me nisingejibu chochote kile
2026-09-05 11:59:10
2
massagetherapist28
TAUSI SPA&PEACOCK SPA :
tufanyeje sasa kama una mimba yetu😂😁
2026-09-05 15:48:57
2
user974995807039
it's Naa☺️🎈 :
5/5
2026-09-05 12:25:10
1
To see more videos from user @salio5860, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About