@chomozatv: Hivi ndoa nyingi zinasambaratika kwa sababu ya mwanamke kupewa uhuru na upendo mwingi? 😳 Mama huyu anaeleza wazi jinsi anavyompiga mumewe mwalimu, kumnyonga na kumng'ata licha ya mume kumtunza na kumpa kila kitu. Pastor Ezekiel anafunguka kuhusu wanawake wanaopendwa zaidi kwenye ndoa nini utokea Kwenye maisha yao Mtu Wa Mungu Unafikiri shida iko wapi hapa? #2026angaza

chomozatv
chomozatv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 18:15:23 GMT
9209
279
7
65

Music

Download

Comments

eliamdalingwa557
eliamdalingwa557 :
badilika sasa
2026-09-04 21:28:10
1
getrudasilvin21
getrudagurti :
Aloooh😭😭😭😭
2026-09-04 22:26:44
1
yuniah398
yuniah :
mungu unabariki wengine na wanaume wazuri jameni roho hiyo zii nzuri lakini unipe vile utaona wewe mungu
2026-09-04 19:40:10
1
stony_004
japhetmchami :
we mmama kuwa makini asijeakauua
2026-09-05 05:45:49
1
amosi.yohana1
SARGENT ANORD :
Dada mpende mumeo usimpige anakupenda nakuheshim sio kwamba hawezi kukupiga anakuheshim dada
2026-09-05 06:18:16
0
samuel.reponse3
Samuel reponse :
😳😳😳
2026-09-04 23:56:00
0
maryguide38
Mary Guide 🇹🇿 :
🥺
2026-09-05 03:58:24
0
To see more videos from user @chomozatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About