@aurakitchentz: Usipike Maji kwa kubahatisha Fatisha vipimo hivi upate wali uliochambuka vizuri #Foodcontentcreator #tanzaniatiktok #KitchenHacks #rice #biryani

Aurakitchentz
Aurakitchentz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 18:26:58 GMT
53623
634
27
66

Music

Download

Comments

aurakitchentz
Aurakitchentz :
Kipimo cha wali hutofautiana kulingana na aina ya wali
2026-09-04 18:52:02
18
shimielizi
Shimielizi🌸🌸 :
Shida ni michele inatofautiana ohoo
2026-09-18 12:28:16
3
pacha20025
pacha2006❤️ :
mm cjaham kidg kwa mchel wa basmat kikombe kimoj kwa vikombe viwil ukitaka uchambuke zaid bas kimoj na nusu si ndio
2026-09-10 04:33:33
2
ummily12
ummly😍 :
shukran
2026-09-13 20:18:59
1
anaumhabeel
anaumhabeel :
Njia hii ni kupika wali kwa moto wa gas au mkaa sio? kwa rice cooker inakuwa kiasi cha mchele ndiyo kiasi cha maji kama unataka wali uwe mzima kama unataka uive zaidi unaongeza maji kidogo tu
2026-09-05 04:49:45
4
mamu_0625
marjan :
na maji ya kupika sima jee?
2026-09-04 18:41:58
2
shey_vipodozi
Shey_vipodozi :
kama nikipika kg 10 yan nkipima mchele wa kawaida huu wa mbeya nkiupima kwenye ndoo ndogo ikijaa je maji nayo npime ndoo ndogo iliyojaa?
2026-09-07 18:29:44
1
khadijauledi465
Khadija Uledi465 :
Mimi hupima vikombe 2 Michele Kisha maji naongeza naweka vikombe 3
2026-09-05 19:55:32
1
pacha20025
pacha2006❤️ :
km vikombe viwil kwa maji vikombe 4
2026-09-10 04:33:45
2
zoyaa339
manji :
😁😁😁
2026-09-05 01:10:40
1
To see more videos from user @aurakitchentz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About