@sauti_online: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Sheikh Said Mwaipopo alikuwa na nia njema kuunda makundi ya 'Chui Mweusi na Mbwa Mwitu' aliyoyataja kukabiliana na waliopanga kuandamana tarehe 7 mwezi wa 7 'Sabasaba' akieleza kuwa alichukua hatua hiyo kutokana na uchungu aliokuwa nao kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, Katambi amesema nia njema haiwezi kuhalalisha njia iliyotumika, akisisitiza kuwa masuala ya ulinzi na usalama yanapaswa kufanywa kwa kufuata utaratibu unaotambuliwa na mamlaka, hususan Jeshi la Polisi.

Sauti Online Tv
Sauti Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 18:33:02 GMT
5129
102
12
7

Music

Download

Comments

fredy_king01
fredy_king01 :
double standard
2026-09-04 21:23:12
0
emanueliwildauson
emanueliwildauson :
hi nchi ina vichekesho sana yani ni kama vile watu wanarekod move daa
2026-09-04 21:16:49
1
magufuli012
Tunashinda :
Yeye siyo mhaini
2026-09-04 21:52:31
0
user2326800039755
Alex :
mbeleeeee tembeaaaaaaa
2026-09-04 20:13:27
0
nyoni477
Nyoni JR :
Ivimnajuwa kwamba tunatumia pesa kuingia mitandaoni
2026-09-04 20:52:54
0
aliyu.kagambo1
Aliyu Kagambo :
Amen urinzi shirikishi kwa sababu wenye chuki binafsi wakutane na chui
2026-09-04 19:26:34
0
mkongwe5
user3310841798159 :
Sasa tukuulize katambi sheria inaruhusu kuwa na vikundi vya chuii sisi kile kikundi chetu cha komandoyoso na pants road kwanini mlikisambaratisha
2026-09-04 20:56:24
0
user39997742280796
user39997742280796 :
hii sasa ndo selikali
2026-09-04 20:45:07
0
bosco.nkya
Bosco Nkya :
unapo kutana na kichaa barabarani kama siyo ndugu yako unamcheka uyu mwaipopo mpaka sasa angetakiwa kuwa jela ila hii serikali ni mzigo kweli,tupiganie katiba mpya kwanza hii ni kwakila mtanzania
2026-09-04 20:31:52
0
jacksonmashindeki
jacksonmashindeki :
tz kama so taifa lako linachekesha sana
2026-09-04 20:26:35
0
magufuli012
Tunashinda :
kwaiyo yeye siyo mhaini
2026-09-04 21:52:52
0
To see more videos from user @sauti_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About