king crzg.gk a long side poulinzongo ndani ya mj rekod msta j on the bet.Est Cost teem
2026-09-13 19:28:22
2
Nayla Ramadhan :
jk yupo wapi jamani
2026-09-08 17:22:10
3
Abdul_madega :
sasa hivi ni mteja wa hatari
2026-09-06 12:28:06
5
MAKANGA JR.🥰 :
WATOTO WA AFUMBILI BHANA ANAITWA PAULINE ZONGO🥰
2026-09-06 18:04:31
6
TWEVE_MABEGI :
uyo first lady wa EAST COAST TEAM anaitwa Pauline Zongo
2026-09-10 18:39:37
5
chrstinambwilo :
aiii gk nilikuwa naimba nyimbo zake utasema mi ndo nimeziimba,,, namkubali sana huyu kaka sijui yuko wap.
2026-09-06 18:38:03
8
Kubangaiza M Kundavi :
Pauline Zongo 🔥🔥🔥
2026-09-06 18:33:11
11
Neema Jafeti :
paulin zongo
2026-09-06 18:57:52
5
Chumu Baby :
kitamboo sana jmn
2026-09-10 10:35:16
2
hisma abas :
nyimbo iliramba sanaaa
2026-09-10 12:55:39
2
BEPAR :
Sister pauline zongo mara ya meisho nakutana nae ilikua 2023 kinondon manyanya akiwa amelewa vby sana kuna madada wakawa wana mshangaa huku wakimcheka nikawaambia huyo alikua msanii mkubwa sanaa sijui tuu kememkumba kitu gani kichwani
Mimi ni fan Wa eastcoast tokea nakua ki ukwel naumia sana kuona akina Mwana F.a, Ay way wakiwa stabble ki uchumi namna ile lkn wanashindwa kumsaidia mwenzao hata kumpata na kumlipia sobar ili aweze kurejea ktk hal ya kwd
2026-09-09 20:08:00
8
lelualliey10 :
Crazy gk
2026-09-07 02:40:47
2
Kisiwa tours & travel zanzibar :
Paulin nzongo alitisha sn kipindi kile ila maudhui ya nyimbo yamemrudia mwenywe
2026-09-07 05:11:09
4
deree :
Ahaaaa..c mteja bwana mbona unga ameacha kitambo anafamilia ya watt wa kiume 2 mtu poa sema ila maisha ayko poa sn kwke anapmbna sn...
2026-09-06 17:43:57
6
imanraphael3 :
Pauline Zongo
2026-09-07 00:31:06
3
Bey Macho0305🇹🇿 :
Pauline zongo
2026-09-05 18:42:57
4
user4878219149306 :
Pauline zongo
2026-09-06 18:21:39
1
lelualliey10 :
Yuko wapi Kwani Paulina zongo
2026-09-07 02:40:23
2
Binamu dread locks :
sema huyo Paulina fundi sana wa muziki choraus killar,sikia ngoma hii halafu Kuna ngoma nyengine ya Gk inaitwa kosa langu, sikia sauti ya 3 ya kwaya
2026-09-06 11:07:51
3
George 87 :
Aliitwa Pauline Zongo Au Tulipenda Pia Kumuita Sister Paulin.Kwenye Huu Wimbo Pia Alishirikishwa Msanii John Mahundi. Kundi Liliitwa East Coast Team Chini Ya Mkali Wao" King Crazy GK👍)
2026-09-06 21:05:08
2
Disco Dallas :
pauline nzongo
2026-09-06 23:28:09
3
Hish :
hii ngoma akipiga tena itapendwa sana
2026-09-06 21:26:08
2
Shilinde js :
anapatikanamaeneo ya kino mkwajuni au kino vjana ccm
2026-09-07 07:40:26
1
mamychu94 :
paulina
2026-09-07 11:51:44
1
Beni magari Dodoma. :
Old is Gold...
2026-09-06 20:50:38
1
To see more videos from user @jimymemes, please go to the Tikwm
homepage.