@leza_tv: president William Ruto wa Kenya 🇰🇪 amesema all small businesses za foreigners zifungwe by Monday hasa Burundians, congolais, Rwandan na Tanzanians
Kenyans we are peaceful..... We will protect our fellow Africans
2026-09-05 05:00:41
1
GLASSYMANN E WIZARD :
being African could be the toughest on earth. we can't just breath anywhere in the world
2026-09-04 22:38:02
2
Linet Osano :
wauze on Tuesday
2026-09-04 21:44:20
0
Mr. Tadeo 💪 :
Where is this so called EAC when leaders have began chasing there own here and there
2026-09-05 05:28:45
1
masala02 :
Please leave them don't send them away
2026-09-05 08:23:20
1
Jacob OLE sorloth :
Wakenya pia wametolewa nchi zingine kama south Africa na tanzania sasa hao wakenya waende wapi?
2026-09-05 05:04:42
8
Beautiful grace 💞💞💞💞 :
vipi kuhusu wasomali
2026-09-04 22:06:13
1
THEE NICK 254🇰🇪 :
KENYA ISN'T A DUSTBIN
2026-09-04 22:21:18
6
ODI BAD GANG🇨🇩 :
tayari Niko malaba narudi 🇨🇩
2026-09-04 19:20:26
5
Mambea Vero :
wakenya wanateswa sana hizo nchi zingine hata tanzania alikataa alisema biashara ndogo ndogo waachiwe watazania
2026-09-04 21:53:03
14
user7047815610458 :
hiyo story iliaza Tanzania 🇹🇿
2026-09-05 08:48:06
1
johnkatembo949 :
haita wezekana mina tangaza hii kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye . Hakuna anaye ji tegemea mwenye. Kenya Wana ishi pia kwa inchi jirani. Anaye panda chuki kati ya watu. Apite mbali n'a sisi . apoteleye mbali n'a watoto wa Mungu. Kama si biashara ni Huduma Zina chukuana. AFRIKA NI MOJA. MUNGU NI WA MATIAFA YOTE.
2026-09-05 08:55:51
0
terry buduko :
sio wakenya wote kaka
2026-09-05 07:26:07
0
meshack :
sijuwi wa kogo tuna edawapi nakwetu tumekuviya Vita jamen😭😭😭😭
2026-09-04 20:55:51
0
Jean kabengele17 :
Mimi Niko apa Kenya,ni ukweli,atujui,tutafwanya Nini,.
2026-09-05 05:59:07
0
agnes nyevu :
alianza mama samia ndio alianza sasa Rito hajakosea
2026-09-05 04:50:04
0
Lilianah Raff :
but sijapenda huu uamuzi sababu our brother's sister's wako inji zingine sasa ikiwa iji zote zitatoa huamuzi kama huu what will happen to our own people
2026-09-05 08:44:57
0
🦋ANYANGO🦋 :
Nani hana kwao?
2026-09-04 21:40:45
0
Omutabona :
make up ni ya nini
2026-09-04 21:58:16
1
lomilo Kristine :
good good good 💯💯💯💯
2026-09-04 22:35:38
1
Cj WGW 🇵🇸 :
one love Africa
2026-09-05 00:06:20
1
choosen one :
guys we are peaceful we have humanity tokeni nairobi
2026-09-04 23:10:31
1
Amish@liababy :
my Congolese nitumanieni fea nirudi jama nitakufa njaa huku
2026-09-04 21:41:17
1
JEY KIGO :
yaani congo vita halafu penye umejicha nako unafukizwa daaaah 🥹💔
2026-09-04 19:34:44
2
Germaine B :
Vramaint les temps de la FIN 😭😭
2026-09-04 20:52:51
1
To see more videos from user @leza_tv, please go to the Tikwm
homepage.