Kitendo cha kuizungumzia Yanga nimekudharau mtumishii 😂😂😂😂
2026-09-05 05:27:03
45
Maduhu :
hahahaha hahahaha.Nimemuelewa kiongzi Anamanisha ubingwa wambinguni na yanga nimabingwa wa hapa Tanzania tu na Mungu nibingwa wakuziokoa roho za watu Duniani kote.
2026-09-05 04:43:19
18
George Aloyce :
Kama hauna roho mtakatifu huezi kumuelewa
2026-09-05 08:12:54
8
Herman chris💫 :
Heeeeeee😳😳😳
2026-09-05 08:24:41
0
Selemani philemone Cheliga :
Sasa habari za mungu na mambo ya mpira wapi na wapi
2026-09-05 04:10:50
12
~Eric :
nibonyeze wap nitumie voice note
2026-09-05 08:47:16
0
edyana Steve 🌹😜 :
hahahahahah huyu ni shabiki wa Simba bila shaka asa kwenye mahubili yanga inahusikaje💛💚
2026-09-05 08:20:10
12
MP :
mbona yanga hawazungumzii nyie?
2026-09-05 08:14:12
4
Lugaba772341095812 :
Yanga ni Bingwa wa mda ila Yesu ni BINGWA wa Mda wote
ila Mtumishi usingetukana
2026-09-05 07:53:16
6
sanga mkubwa :
hahahahahah nichoka mm
2026-09-05 05:08:40
0
ayubu Mwaipopo :
huyo ni mzee wangu ni shabiki kindakindaki wa yanga
2026-09-05 03:30:00
4
Nuru kwa mataifa :
huyu ni simba sasa
2026-09-05 03:42:36
2
Leus :
maombi ya kufoka kama hvyo mungu hana muda wa kuyajibu
2026-09-05 05:27:01
4
🦾MSINDAY🫵 :
hatuna mchungaji hapa
2026-09-05 06:57:19
1
severin og :
eeeehee
2026-09-05 04:14:32
0
johannes :
tanzania naipenda nchi yangu
2026-09-05 03:42:45
2
Godliver :
mtumishi hubiri maneno ya busara mimi kama inakukwaza iache