@userbradboy40: Kocha mkuu wa timu ya Taifa la Tanzania taifa stars 🇹🇿, Miguel Gamondi katika kikosi cha awali alichokiita, amewajumuisha mastaa 7 wa timu ya Simba SC Tanzania . Mastaa hao ni; 1. Vedastus masinde beki wa kati 2. Antony mligo beki wa kushoto. 3. Nickson Kibabage beki wa kushoto. 4. Nathaniel chilambo beki wa kulia. 5. Yusuph Kagoma kiungo mkabaji. 6. Morice Abraham kiungo mshambuliaji. 7. Bakari msimu kiungo wa pembeni.

BRAD BOY40💎
BRAD BOY40💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 19:24:35 GMT
18215
555
5
5

Music

Download

Comments

user3204061919033
Papy :
nguvu moja
2026-09-05 13:28:27
0
locallyne
it's evie🦁 :
na hapo wamemsahau nashoni
2026-09-05 11:55:07
0
dew.rain0
Dew Rain :
inanikumbusha wachezaji 8 kutoka Al Ahali waliitwa timu ya taifa ya misri kombe la dunia, kuna siku simba itaunda Taifa stars
2026-09-05 11:44:20
0
pasikali96
pasikali :
🥰🥰🥰
2026-09-04 22:49:30
1
To see more videos from user @userbradboy40, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About