sisi yanga wenyewe hatuwataki yanga hainyenyekei mchezaji🤣🤣🤣
2026-09-04 19:45:30
32
viny@ :
most fball content creater,,,*
2026-09-05 08:38:26
1
chipangula nfb :
mmh!! ww unasemaje
2026-09-05 17:06:12
2
cut Isabella :
yanga ni mwendo wa ugari na sukari, kwanini wakae kimya?
2026-09-04 19:53:54
13
JABU :
Kama uongozi wa yanga ni wa kubabaisha mbona Aziz Ki amerudi…..???
2026-09-04 22:21:10
7
Notorious :
kosa la Eng hapo ni kukataa kuvunja mikataba kiholela au shida nini? chama amesema kua alimuomba arejeshe fedha before hajatambulishwa Yanga kitu ambacho Eng alikataa kulifanya sababu alisaini mkataba wakiwa hotelini na akiwa na akili timamu, nini kilimfanya atake kurejesha fedha siku kadhaa baadae?? wachezaji waache tamaa hata chama kakubali alikosea
2026-09-04 21:30:49
9
Irene 😘 :
umemsikiliza sowa Nini amesema😂😂😂
2026-09-05 05:37:53
1
Shamkiss Omar :
aziz k siyo kwa ajili ya yanga bali hamisa
2026-09-05 13:37:05
0
ONE BOY :
mwenda nae😂😂
2026-09-04 19:37:04
3
Ally Urembo :
mbona husemi Sawa anavyojuta
2026-09-05 08:21:36
1
stoneManOg :
Yanga alikuwa hachezi ,Lazima akumbuke kule anakopata nafasi Yanga siyo michezo ni KAZI KAZI
2026-09-04 19:38:40
4
yoah@41 :
uwezo wake ulikuwa mdogo ukilinganisha na wachezaji tuliokuwa nao , sasa angeweje kuanza first eleven!
2026-09-05 10:40:51
1
mbeya prince 👑 :
NAITWA MAGEMBE NI MUUZAJI WA MAHADI WEA😁😁😁
2026-09-04 21:44:21
2
mussaKkkk :
hn😊
2026-09-05 06:01:08
1
princess YANGA 🥰 :
kwani sasa fei anasemaje kuhusu kurudi YANGA Yuko tayali kurudi YANGA 😳😳😁😁😁😁 sijui mnaropoka
2026-09-04 19:52:21
2
KELVIN SIMBA🦁🦁🦁 :
kaka nikuulize ki2
2026-09-04 19:38:01
0
Wosteal :
na nukuu, "nilimuomba engneer nirudishe pesa nibakie simba lakini boss wa yanga alikataa " swali je chama alienda yanga akitokea simba?
2026-09-05 06:47:50
1
Ryzer semlangwa :
Saw mtetez wa chama
2026-09-05 05:46:51
0
Jeremiah maganda :
hata ss hatuwataki
2026-09-05 11:15:27
0
jay19 :
hakuna mchezaj mkubw kuliko team, pale yanga watapita wengi sana
2026-09-05 10:09:12
0
omari makeke :
sawa lakini yanga sisi Daima mbele nyumba mwiko
2026-09-05 08:58:41
0
Teo_Excavator💪👷🇹🇿 :
master pale kwenu kuna shida ila timu imejificha kwenye makombe na ushindi vinginevyo mbona tungeona mengi
2026-09-05 12:48:51
0
john gura :
usimsahau soha
2026-09-05 08:29:02
0
To see more videos from user @master.codie, please go to the Tikwm
homepage.