ilikuwa 2011 sikumbuki mwezi gani ila mwishoni mwa mwaka final kagame cup, goli linafungwa na keneth asamoah dakika za mwishoni anaingia tu anatoka david mwape mechi iliisha yanga 1 simba 0 baada ya mpira umeme ukakatika uwanjani hapo na miaka 8
2026-09-05 13:19:50
18
Sisco Tz :
ilikuwa tare 10 mwezi wa 7 2011 siku ya jumapili fainali kagame cup
2026-09-05 14:11:36
4
kipenzi cha mama👑👑 :
6
2026-09-05 10:16:56
1
Arbdly Ramadhan :
nakumbuk nilikuwa na miaka57
2026-09-05 09:42:04
2
𝖄𝖚𝖘𝖚𝖕𝖍 :
kwanza umekosea haikuwa 2012 hii ilikuwa 2010
2026-09-05 10:41:45
2
KEVI QUOTES 🔕 :
Mi nilikua na 8
2026-09-05 11:25:36
2
abdulkareem jabaar🇹🇿 :
7
2026-09-05 20:19:01
1
hancyjr5 :
hapa nilikuwa na kaz kubadilisha viwanja billz au club maisha
2026-09-07 04:55:10
2
stellah ❤️🇹🇿 :
mi 2😅😅😅lakin saiv naonekana mshangaz
2026-09-05 13:53:02
1
Difu KHAN :
miaka 3
2026-09-05 13:49:10
1
Boniphas Musoma :
Pasi safi kutoka kwa jezi 18 RASHID GUMBO inaunganishwa kwa kichwa na nyota keneth asamoh kwenye dakika za muda wa ziada 120 fainali ya kagame cup July 2011 na yanga anatawazwa kuwa bingwa mtetezi🤜🤜🤜🤜🤜
2026-09-08 06:37:24
4
shebby :
nilikua form one hiyo
2026-09-05 16:23:07
1
Jecha :
Golini Juma Kaseja
2026-09-05 08:05:54
1
wllbert :
nilikuwepo hii game
2026-09-05 14:49:05
1
brilliant th :
nilikuwa nipo chekechea father wangu ndo alikuwa katika harakati za kunirithisha hyo timu
2026-09-06 16:49:24
1
Raheem HamzaTz :
tuliokuw darasa la 2 mwaka 2012 gonga like😂
2026-09-06 22:33:02
1
Jecha :
Nilikuwa uwanjani
2026-09-05 08:05:33
1
Mr Magu :
Miaka 99
2026-09-05 07:46:52
1
Nurdeen109💣💣💣 :
kagame cup hio fainal
2026-09-05 12:30:22
1
jezii og :
daaa yangaa nimeamzaa kuipendaa kablaa ata siwaoni wachezajii ...nasikilizaa kwenyee redio asa saivii utanambia nn nikuelewee
2026-09-05 11:33:17
1
Smail MUda Bado🇹🇿🇹🇿 :
nmemuona oscar joshua
2026-09-05 07:13:39
1
Mr MCHARO JR :
nakumbuka hii mechi niliswali sana aisee hapo umeme umekatika hom ghafla tukawa tunasikilizia kwenye radio hapo mama angu anahangaika kusikiliza vizuri ilikuwa final bora sana aisee
2026-09-05 14:34:09
1
BUDDY 😎🫂🤗 :
mbona kama vita
2026-09-05 05:10:19
1
Bakar :
miaka 7
2026-09-05 06:34:09
1
To see more videos from user @patry.youngafricansmedia, please go to the Tikwm
homepage.