@mrkelele8: Mwaka 2014, Rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani. Alizitoa Fedha hizi ili Mke wake asipate Shida kipindi ambaocho yeye hayupo Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia alizigeuza kuwa mtaji, akizalisha biashara na uwekezaji uliomrudishia dola milioni 6 ambazo ni sawa na ( Tsh. Bilioni 15). Miaka kadhaa baadaye Gucci alipoachiwa huru, alikuta kila kitu kikiwa kimeongezeka, na Keyshia akamrudishia kiasi cha pesa alichompatia. Kwa sasa wawili hao ni Wanandoa na wanaendelea kujenga utajiri kwa pamoja. Je, huyo Mpenzi wako ukimuachia Hela utaikuta imezalisha???

Mr kelele👊
Mr kelele👊
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 19:54:40 GMT
111286
2935
134
139

Music

Download

Comments

cute.cleo31
Cute cleo🥰 :
Huyu ndio mke tunae mtaka Mim na mme wangu 🤣🤣
2026-09-05 07:29:24
101
user172219656256hi
Hidaya :
Hii story imenigusa siogi leo
2026-09-05 06:20:54
40
zuuhcolection
pretty zuuh💖 :
angenikuta nshaolewa zanguu mie
2026-09-05 10:50:29
7
jg591297
J&G*** :
sasa cha msingi apo hizo walizo pata bora mume afungwe tena Jera akirudi anakuta zimeongzeka hadi bilioni 30 na zaidi hivi
2026-09-05 13:37:31
9
mariym6356
MIRIAM :
Ata me nikiachiwa naweza kuongeza 😁
2026-09-05 17:13:37
0
youngnac001
nancy🇬🇧🇹🇿 :
lamda asiwe wangu
2026-09-05 05:20:08
11
user50637160968777
colga masenya :
mke wa ndoto ya mume wangu 😁😁😁
2026-09-05 10:56:29
5
floxwhite_
Floxwhite🈹️ :
hii ndo mali sasa
2026-09-05 10:28:27
0
pelegibernad
Stany Tz :
Daah Nikipat wa hivyo sichiti tenaaa😂😂 daah
2026-09-05 12:52:52
3
maryamakyoo45
Maryam Perfume :
ngoja nimwambie mme wangu aoe na sisi twendwe jela tumwachie mtaji
2026-09-05 10:57:24
1
aryn.collection4
aryn collection chimbo :
Good wife material
2026-09-05 06:33:05
1
getruda.emanuel0
Getruda 😍🥰 :
najua mnamtaka kama huyo ila sisi ndio tupo 😂😂😂
2026-09-05 17:46:54
0
mbacki2
mbacki :
areni umeon mwezio
2026-09-05 09:47:05
1
johnatanasy
MALOGO :
angekua wangu hiyo hela angesha zalixha ndoa na watoto wengi sana
2026-09-05 10:43:26
1
philbertemmanuel8
phirrrr :
umekosea kuandika bro alimkuta na elfu kumi na tano😂😂
2026-09-05 15:13:47
3
terabytemach
user88965272611 :
Huyo anaweza kuwa mwanamke pekee anaweza kuingia mbinguni kwa hiki kizazi hata mimi mke wangu namwamini anaweza pia nashukuru mungu 🥰🥰🙏🙏
2026-09-05 08:54:20
3
zuhurakijengi
Zuhura kijengi :
🔥🔥good wife
2026-09-05 03:50:52
1
david.siao2
david siao :
nashindwa hata kukoment huku Malaw kwetu ni huzun
2026-09-05 10:39:21
1
catherine.bonipha24
Catherine Boniphac :
ASA. KAUSHA. DAM. OYA. ROME MOMALA UMODIZM WANGENIJUA. MI. NANI. MANINAA
2026-09-05 16:32:42
0
jofreymakambi
jofrey Makambi :
uwiii acha ninyamaze tuuu
2026-09-05 15:14:01
0
joco_boe
JOCO_BOE :
tanzania usitegemee kupata
2026-09-06 05:29:57
0
moneyquite
moneyquite :
Alikua anasponsor
2026-09-05 17:09:21
0
cabosixy
cabosixy :
mapenzi ya kweli na uaminifu kwamwe haufi gucci kapata mke
2026-09-05 16:59:34
0
evance.lawrance
Evance Lawrance :
Real recognize real...thug livin all day Ice cream witch ya Fam💯💪👊🙏
2026-09-05 19:51:38
0
christina.patrice91
Christina Patrice :
kaka hongera sana kwa kupata mwanamke mwenye akili mungu awzidishie baraka nyingi
2026-09-05 07:13:03
0
To see more videos from user @mrkelele8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About