Subhanallah may ALLAH atazidi kuwashinda kwa kila jambo InshaAllah 🤦🥺😭😭😭🫂
2026-09-05 03:49:17
1
Zuchu Bby ❤️ :
Pole Mamah mungu yuko nawe usijali shkuru Allah🤲🏾
2026-09-04 20:59:58
1
jike na nusu :
😭😭😭😭yani naumia sana nikiona kuna mtu anachuki na mimi kiasi hichi
2026-09-04 20:12:34
1
Pili 🇸🇦💥🇰🇪 :
Allah atawashinda wote wlokua na ubaya na maisha ya watu pasipo na sababu.😏
2026-09-04 20:11:10
3
khairat🧕📿✨ :
wee huku nje kubaya🥺
2026-09-04 23:56:29
1
hilwa beuty product ❤️🪬🧿🇶🇦 :
UDUGU WANGU POLE ALLAH ATAKUBUFADHI CHUKI ZA HIVI ATA SUMU WANGE WEZA HAWA VIUMBE WAKATILI MMH SUBHANALLAH INNALILLAH WAINNA ILEH RAJIUN MSIBA HUU WALLAHY POLE
2026-09-07 05:14:40
1
Sister's 001 :
Amekukosa mbwa yy yanii nabaki na question mark Alhamdhulilah Yarab
2026-09-04 20:49:03
1
wamnyonyez🤪🤣 :
binadamu hatupendani jmni ata hujui umuamini nan
2026-09-04 20:09:46
1
Mamiyoooh2️⃣6️⃣🦋🥰🦋🇨🇩🇨🇩 :
Subhanallah🥺 Mwenyezi Mungu Atawashinda🤲Allah Akulinde Udugu Wangu Na Hasad Za Watu🫂
2026-09-04 21:04:10
1
MAMAAKE ASIN :
Allah aliepushe hapo na pengine
2026-09-05 07:14:35
1
ZUSHY KOMWE🌹🌹❤ :
pole sana my, uku nje watu ni wabaya. ila mungu yuko pamoja na wewe 😭😭😭🥹🥹🥹🥹 tuweni mankini jamani
2026-09-09 13:04:18
1
Ummu ❤️ Firdaus ❤️ :
Allah akunusuru insha'Allah it's so painful wallah🥹🥹
2026-09-04 22:04:29
1
🌺dezush :
jman ndio maana acha account yngu iwe hvi bila kujipost maana wee😭😭😭cyo kila mwanaume anakutaka kwa nia nzur wengine n kutaka kutudhalilisha tuh sisi wanawake haswa Ma single mother tunaoneshwa dharau n hv viumbe😭
2026-09-05 07:32:27
2
Moeshagabow001 :
Allah akuhifadhi kwa hili na lengine....inshallah mahasidi awashinde🙏🙏
2026-09-05 03:45:35
1
🦋🦋Lyshaommy🦋🦋 :
SubhanaAllah Allah atazidi kukuvusha na kukuepushia katik shari za dunia
2026-09-04 20:12:04
1
Darwah😘 :
subhanaAllah😳😳 hata nakosa la kusema ila sisi binadamu tunapitia maziti kwa kwl....Allah akutangulie udugu wangu na akuepushe kila lenye shari na wewe
2026-09-05 03:51:33
1
maryamour4204 :
subhanallah this is too much wallahy wee Allah maa3ki my sister in islam hii nayo sio sawa inshallah pole kwa mthihani🙏🙏🙏
2026-09-05 05:23:43
1
jabaya7 :
subhannallah 🥺 jamanii
2026-09-06 19:53:44
1
Ayush Abby 🥰 :
Allah akuvushe hapo na pengine nepo
2026-09-06 10:12:49
1
🎖🎱🎖Mrs SaidFellah🎖🎱🎖 :
jmn mbn watu wana uhasidi hivi
2026-09-06 21:46:50
0
Hafsa aboudy :
pole kipenzi ni mitihani tu hiyo
2026-09-07 17:33:16
1
𝑀𝑎𝑙𝑢𝑘𝑖💜 :
𝐻𝑎𝑠𝑏𝑖𝑦𝑎𝑙𝑙𝑎ℎ 𝑤𝑎 𝑛𝑖'𝑚𝑎𝑙 𝑤𝑎𝑘𝑒𝑒𝑙
2026-09-06 20:08:21
0
Amina Mohammed :
Pole sana dadaa
2026-09-04 20:21:08
1
To see more videos from user @johanassirsaid, please go to the Tikwm
homepage.