@street_boy23: Watu wengi wanaona ulipo leo na kukuhukumu, bila kujua vita ulivyopitia kufika hapo. Usione aibu kuanza kidogo, usione aibu kutafuta riziki kwa njia halali. Kila unachokifanya leo ni hatua kuelekea maisha unayoyaombea kesho. ❤️💪🏾 Leo unaweza kukaa pembeni ya barabara ukisubiri mteja, lakini kesho unaweza kuwa sababu ya watu wengi kupata ajira. Usikate tamaa! Mungu haangalii ulipoanzia, anaangalia moyo wako, bidii yako na imani yako. 🙏🏾🔥 Endelea kupambana kimya kimya… siku moja mafanikio yako yataongea kwa sauti kubwa. 🥹❤️🔥” #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fyp #foryou