Wanatuombea mabaya Ila mungu aliyembinguni atatushindia hiivita 👏🏻
2026-09-05 05:08:34
20
Alesi Haonga :
mmwaaaa💋💚💛💚💛💚
2026-09-06 09:22:33
0
Mr hardway :
mwisho makundi
2026-09-05 03:37:54
8
migzerpishoo :
Wangapi wanasema yanga bingwa
2026-09-05 04:48:04
26
Mrs John😘❣️ :
Young Africans is my best team in the whole part of Africa and the WORLD by the same 🔥🔥🔥
2026-09-04 23:06:08
18
💕 zuuh 💖💞🥰🥰 :
mungu awatangulie chama languu 🥰🥰🥰🥰💚💚💚💚
2026-09-05 04:49:03
18
kitu nafsi :
nawaaminia vijana goli saba tu mimi nawaomba
2026-09-05 06:04:40
7
Ida💞💞 :
kuna taila linasem lililazimishwa kucheza huku embu tutue sis💚💛
2026-09-05 13:25:14
9
KAMASHAZI P :
Moja ya vitu vinavyoendelea kudidimiza tamaduni za kitanganyika ni pamoja na kutumia nyimbo za zisizo za kiswahili katika majukwaa yetu binafsi...tuangalie na hili 🙏
2026-09-05 08:09:22
6
Van Boy :
daima mbele nyuma mwiko
2026-09-05 11:03:41
5
B,boy 👦 :
kama Young nguvu moja like hapa
2026-09-05 09:25:38
8
SALISA :
YANGA BINGWA 🔰🔰🔰
2026-09-04 22:27:34
9
JR star :
tunawasapoti kwakila hatuwa🥰
2026-09-05 04:24:37
9
Hasley :
kila video naona sele anafurah hadi raha 😂😂
2026-09-05 03:49:21
23
iamlee_33 :
Mmmh ifike atua Yanga waheshimiwe kwenye digital aise yaani hautamani video iishe 🥰😂
2026-09-05 03:47:45
12
SWEYA JR10 :
Mungu bariki team yetu
2026-09-05 05:46:54
5
Ibraah 💥💣 tz :
tuna iombea kila raheli kwenye mchezo wetu wa kwanza🥰
2026-09-05 04:05:35
8
To see more videos from user @youngafricansscofficial, please go to the Tikwm
homepage.