@mirrsviva: MakeUp artist pt1 #nokulia #nokutiahuruma #nokutoka @@naah slim tz

Simulizi za#mcviva
Simulizi za#mcviva
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 22:45:17 GMT
47526
4290
180
132

Music

Download

Comments

fridakitua218
FN_COLLECTIONTZ :
da viva nishusheeeee😂😂😂😂😂😂
2026-09-08 16:13:11
0
naah759
@naah💙 :
😂 me hata namba ya da viva sihitaji nishaivaaaa asanteee🥰
2026-09-05 07:25:32
25
grac8305
Grac :
da viva party 2 isichelewe jamn
2026-09-05 08:30:11
12
www.tiktok.melvinstore
@MELVIN STORE 🎀 :
Huyu ni mimi kabisa nilivyo kuwa namuaminii ba mjengo ila nilipta funzo la maana 🥹🥹
2026-09-05 11:56:56
24
johayna161
JUJU💋🧸 :
Dah viva saa saba hii😂😂
2026-09-04 22:53:53
6
rehemahango
rehemahango :
weeeee Viva kuogeshana tena,au umeangalia movie ya kihindi🤣
2026-09-05 13:02:54
7
robhiwambura817
Brilliant :
Da viva namba zako za normal ni zipi au niku Dm huku ticktock? maamzi yangu yamefikia mwisho dada
2026-09-05 15:08:34
4
yusterssimon
yusterssimon :
hatulali🤣🤣🤣saa 8 hii
2026-09-04 23:33:42
3
nyangwiza0
mj@double2 :
Nikumiss viva
2026-09-05 11:01:11
1
ritajoseph67
R de cute😍🦋💜 :
wa kwanza🥰🥰🥰
2026-09-04 22:48:46
4
lizy.mushy
lizy mushy :
Da viva mbona humalizii simulizii
2026-09-05 04:30:33
0
fatma.fadhili5
Fatma Fadhili :
jamn naomba namba ya dada viva
2026-09-05 03:25:26
1
abby81141
Abby :
yaan mim kilasiku nalia mpak nimekauka Kama Kuni 😭😔 sijui chakufany
2026-09-07 12:24:50
1
mlayveronicahreallife
mlayveronicahreallife :
Ila michepuko wana kazi jamani….🙌🏻🙌🏻🙌🏻dah……
2026-09-05 01:41:35
5
aisha.jumanne23
Aisha Jumanne :
Huy naa mm nampataje da viva??
2026-09-05 11:19:23
1
user91558283376544
🌹🌹 :
Nimeanza kujifunza ujasiri kabla cjaingia kwa kina ndoa😂😂😂
2026-09-05 07:12:05
10
florencevedasto
fiona :
Dada nimependa hiyo top navaa size 18 pls nitafutie ni bei gani?
2026-09-05 06:57:02
1
jmkhomoi1
Jojo 🤎 :
Bei gani
2026-09-05 13:47:07
0
furtado.n7
Furtado N :
Kama unajiamini piga simu baba kama yule akiwa macho akiwa anaona akiwa anasikia aiiii viva!
2026-09-07 14:59:24
1
betty.johny
Betty john :
yan nmekuona tu ht sijaanza kusikiliza nikajikuta nacheka tuuu
2026-09-05 14:30:39
2
user2743321791719
Miss Tailor :
nachukia kuwahi 😂imeniuma af amn part 2
2026-09-05 06:43:14
2
mwitango4
My Sara :
haijaisha hii
2026-09-05 18:53:39
1
cuteapple37
Mom lightness✨️🤍 :
iyo naah slim shingp da viva
2026-09-05 06:52:52
2
annalily030
Smile girl 😄 :
nipo macho mwali😁
2026-09-04 22:52:28
3
g.the.princess
baby g🎀 :
nakupenda san daviva maan unanifundisha sana
2026-09-04 22:51:59
3
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About