@lijei_tza1: Mtanzania aliyeishi nchini Afrika Kusini tangu mwaka 1994 aliyejitambulisha kwa jina la Mzee Siri mzaliwa Wa Mkoa wa Tanga ameeleza kuwa amerejea nchini ila hajui nini cha kufanya. Aidha Mzee Siri ameomba Msaada kwa Watanzania waweze kumsaidia kwani umri wake kwa sasa umeenda akieleza kuwa anakaribia miaka 64
Lijei TzA👑
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 02:24:47 GMT
Music
Download
Comments
fogo :
umeludi kufia nyumban
2026-09-05 03:41:35
12
@cute :
nilikuwa sijazaliwa karudi kazeeka bila faida yoyote ni huzuni😳
2026-09-05 04:41:16
7
Ngonifaceless channel :
Mwalimu Nyerere alikuwa makini sana kusisitiza tushiriki kwenye ujamaa na kujitegemea, tumiliki ardhi, tufuge mifugo hauwezi kuumbuka kabisa
2026-09-05 04:12:32
10
Zunuz Org :
kunakitu cha kujifunza vijana wenzangu hapo musishangae na kumkosoa tujifunze kwake tumepata somo hapo
2026-09-05 04:01:22
6
dokta_mitishamba :
umerudishwa umerud
2026-09-05 04:27:51
4
HAYEK🌹 :
hapo sijazaliwa
2026-09-05 04:09:24
2
Regina🦋😍 :
Jaman wangepewa ata mtaji kuliko kuja kuombaomba tena 🥺🥺🥺
2026-09-05 04:47:52
2
TimeFurniture_Dodoma :
eeh ila south 👐 mmejua kutuharibia watu asee
2026-09-05 04:59:20
2
ashanti :
kwani anaitaj mke mi nipo tayari uyo ndo sili wangu muniachie nilenae ujana
2026-09-05 04:34:51
3
AZZA MOHAMED :
mzee wangu allah akufanyie wepes ukiensa tanga ndug wasikukatae ndug wazam hiz ni mtihan san
2026-09-05 04:12:43
3
mill shey💞 :
sijazaliwa nimezaliwa mbak nakaribia umr wa kutoa laan
2026-09-05 04:57:21
1
Sweety 👄Mellon🦅 🦅 :
Duuuh
2026-09-05 04:30:00
1
user4134529688061 :
usikonde mjomba ni maisha tu
2026-09-05 05:18:34
0
Ms sitty 🦋 :
Aya mnajua km tulipigana wenyew kwa wenyew lkn🥹rudi tukuadisie
2026-09-05 05:17:35
0
jmarick5 :
Mwandishi banah, Eti huko Tanga ni maarufu kwa jina la Mzee siri, Tanga ipi sasa ya South Afrika??
2026-09-05 04:53:37
0
Narmin Niroo :
ameondok mm nna miaka miwili sasa hivi nna miaka 33 uwiii
2026-09-05 05:17:44
0
Vins Wallpapers & Decor :
kasema sisi wenyewe vijana, Yeye ni kijana wa zamani, kwa sasa mwendo kashaumaliza
2026-09-05 04:15:14
1
Hb no 3 :
umri wangu
2026-09-05 03:49:05
0
Big Mketo Tz :
tanga hajulikani kabisa
2026-09-05 05:11:37
0
momo hynam💦💦 :
mm sijazaliwa kipind icho
2026-09-05 05:12:12
0
moro bike🇹🇿🇸🇸 :
kwaio ana 64
2026-09-05 05:18:13
0
pisces🤍 :
Daaaaah umri wangu
2026-09-05 05:19:26
0
coach hamza :
siri wapo ẁeng jamaa yangu anaitwa siri raxhid
2026-09-05 05:15:11
0
KD$ :
we ni kijana
2026-09-05 05:13:31
0
awadhmagulio :
sisi vijana ?
2026-09-05 03:56:09
0
To see more videos from user @lijei_tza1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.