hakuna kitu hpo sheikh yusuf ame washinda bahati wacheni chuki
2026-09-05 17:06:46
1
MSAUDI :
Masha allah
2026-09-05 17:56:16
0
Young :
Sipendi maneno yako.
2026-09-05 16:09:39
0
أَبُوْ أَيْمَن :
JazaakiLlahu Kheiran, Allah akuhifadhi
2026-09-05 18:19:06
1
ابو ماهر :
LINI MTAKOMA KUTUSI WATU JAMA
2026-09-05 07:11:00
0
MSAUDI :
yusuph abd Elim Hana kabisa
2026-09-05 17:58:16
0
Abu_humeira :
Sh Abu hashim kama kweli unajua wapi utampata sh yusuf mpigie uende uzungumze hayo kwa ushahidi mbele yake. Ukisema hana ilmu kaa nae mujadiliane umjue kama kweli hana ilmu.. ukisema ameenda kwa usufi umemzushiaa sabbu apo na ule msimamo wke kwmba maulidi hayasomi ila anatambua kwmba ikhtilaaf ipo ya wanavyuoni
2026-09-05 16:27:58
0
Khadija Dida :
Wacheni chuki mashekh wetu, kwa kuwa nduguyako anasoma maulidi ndio umtenge ukate na udugu? Wacheni yenu jamaa
2026-09-05 18:20:16
0
Ibrahim Traore :
KILA WAKATI MASHEIKH WAKIISLAMU NI KUSEMANA TU
RADDI KILA WAKATI ,MIZOZO TU
HAZITOSAIDIA CHOCHOTE KATIKA UISLAMU
2026-09-05 16:28:33
0
kuta za juu :
mawahabi wengi ndo wamesoma mitandaoni... kiukweli kabisa..
2026-09-05 19:28:26
0
AlJadeed :
ukisema hajasoma Abuu Hashim ni uwongo kisha mukiambiwa ni waongo mutakataa nawajua amesoma wapi.
2026-09-05 14:34:36
1
To see more videos from user @alakhyabuhashim, please go to the Tikwm
homepage.