@light.to.the.right: Eeeeh mola wetu, tuepushe na uchafu huu, sisi ummati Muhammadi, Zinusuru nafsi zetu na Adhabu hizo kali ya Rabbi.😩😩😩🤲🤲🤲 #light_to_the_right
Light to the Rights
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 04:05:39 GMT
Music
Download
Comments
BREEZ MAGARI :
Allah atunusuru
2026-09-06 18:36:39
0
Abu Fahim :
Allah atuepushe na zinna🥺
2026-09-06 14:30:08
0
Mamuh cake🥳🎂 :
Ya Allah atusamehe na atuongoze ktk njia nzuri yenye kukupendeza ww Allah 🤲🏼🥹
2026-09-06 08:39:46
6
꧁𒆜༺ 𝐔𝐤𝐡𝐭𝐲 𝐍𝐚𝐬𝐫𝐚༻𒆜 :
allah niepeushe mm na kizazi changuu ☺️, na kizazi chaoo☺️
2026-09-06 10:02:05
5
Khadija sao :
dah allah atujaalie mwish mwem
2026-09-06 09:30:40
4
official Zuu🫶 :
Ewe mola usituweke mbalia na radhi zako ya Allah tujalie mwisho mwema 🥰🥰🥰
2026-09-05 08:50:27
12
Its_aisha_mamy😍 :
Subhanaallah 😭😭Mungu atuepushe n zinaa sote waislamu wanawake n wanaume🤲🤲🤲
2026-09-06 09:04:44
6
nuraty :
allah atusameh san Naomb kila siku
2026-09-06 15:00:56
1
Mau Fundi :
Ewe MOLA wetu mlezi tusamehe madhambi yetu na utuepushe na Zinaa
2026-09-05 07:04:14
7
halila2124 :
Allah Atuepushe na Zinaaa
2026-09-05 05:07:21
1
Aisha madaha@😶🌫️ :
sbhanallah
2026-09-06 18:45:55
0
ffvhgvkn56-78qahsnxghrgcjdehru :
ALLAHUAKBAR
2026-09-06 19:12:54
0
Mo Ally :
Allah tujalie mwisho mwema na utusamehe madhambi yetu yote tuseme amina
2026-09-05 11:29:13
3
Bangarota Zanzibar :
Subhanaallah
2026-09-06 17:12:23
0
FAA OG❤ :
Ewe mola tupe mwisho mwema
2026-09-05 09:01:03
1
Born to survive :
Allah atusamesehe na kutuepushaa na adhabu hizo nakutujaalia mwixho mwemaa 🙏🙏
2026-09-05 19:26:12
1
user19476605121753 :
allah tusameh dhambi zetu
2026-09-06 15:02:19
0
asiahansy :
Allah tuepushe na zinaa yarabi 🤲🤲
2026-09-06 07:50:26
0
Scooby :
Allahu Akbar
2026-09-06 10:22:07
0
jojo cosmetics💄❤ :
Yaa Allah tujalie mwisho ulikua mwema
2026-09-06 15:28:39
0
MISS A :
sub hanallah
2026-09-06 11:23:34
0
STANI MARUMBA66 :
mm nurizin mpak sikuerewa irikuaj mpak najuta kama nitakuwafurume mbere ya mwenyezi mungu
2026-09-06 07:11:47
0
kinye boy45 :
amin
2026-09-05 08:37:30
0
To see more videos from user @light.to.the.right, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.