@dullamakabila: Huu wimbo uwa unaniumiza sana kila napouimba huu wimbo uwa najikuta tu machozi yanatoka kipindi nauimba huu wimbo uwa unaniharibia mood yangu yote na kujikuta sina tena furaha baada ya kuuimba na siwezi kuachana kuuimba sababu mashabiki zangu wanaupenda sana

Dullamakabila
Dullamakabila
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 04:21:36 GMT
41318
5455
109
25

Music

Download

Comments

michael23093
Micwin :
Duuuh uyo dad wa Sweta la kjn 🙌🙌
2026-09-05 16:36:39
11
fav.girl267
FAV🫧🌸 :
Ulikua wap @—-Hawa dimples ❤️🫦
2026-09-05 08:28:04
2
kselataili.jipya3
k-sela-taili jipya32 :
from kagera califonia moja
2026-09-05 05:27:52
7
mr.never.give.up97
Mr never give up :
king of singer🥰
2026-09-05 04:50:19
6
mohamedjay48
mohamed jay :
noma san hiyoo ngoma
2026-09-05 05:40:08
6
arafambegu
sheymah shazam :
daah inaumiz sana polee sana, at me nyimb inanitia uzun sana
2026-09-05 05:13:34
7
ally.mapesa3
Ally mapesa :
hiii nyimbo dula umeuwa kaka
2026-09-09 09:22:14
5
dore_en6
🎀Deee🦋 :
The first🙌
2026-09-05 04:25:45
5
ashraphatyally
ASHRAPHATY ALLY :
kweliii tatimaaaa dullaah wang🤣🤣🙌
2026-09-05 04:31:24
6
baba.naa2
BABA MII :
huu wimbo hata kama haujaachwa ila ukiisikiliza kuna ka feeling flan hiv, vip ukija kuachwa
2026-09-05 07:50:29
5
recho.charles71
RAcher chazy :
yani huu wimbo ata kama hujaachika ila ukiusikiliza unajikuta unalia😢😢
2026-09-11 23:43:55
1
user2134458195693
ching boy :
Kil hatua 🙏
2026-09-05 04:34:48
6
godfrey75
godfreykado :
usikute aliyegundua mapenzi na yeye anateswa na mapenzi 😂😂😂😂
2026-09-08 07:45:26
2
mishelly669
mishelly669 :
inanilizaga sana 😥
2026-09-05 12:40:38
2
mrs.kenny01
DA CUTE💞 :
yani wimbo huu atakama ujaachika utajikuta unalia 😓😓
2026-09-05 07:23:32
5
molokidehele
Molo Kidehele :
aujapoa kaka
2026-09-05 09:12:38
1
user.ley.shadey
user ley shadey :
nakupenda dullah🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-05 09:20:44
2
waiman.jalibu
Waiman Jalibu :
wanao sema dadazetyu hao washaachwa tujuane
2026-09-06 14:48:21
2
rabani.39
Raban chuma1 :
sana
2026-09-05 05:56:40
1
nassorochollo_nc
NC - nassoro chollo :
ABDALLAH 👑🏆
2026-09-05 05:51:17
1
baby.girl22364
baby girl 🥰 :
njooo nikupende Mimi wala sitokuacha😁😁
2026-09-05 08:33:52
4
emmy.raha7
🦋Emmy raha🦋🦋 :
Unaweza mpk unakela
2026-09-05 07:33:24
2
chingabaisi
ching'a baisi :
sijawai pinga kazyako kaka
2026-09-05 16:06:21
1
miriamjailos198
Miriam Jailos :
hongera kaka wimbo mtamu sana
2026-09-05 09:11:43
1
omarysakho825
mr.misifa🤠 :
mm mwenyewe kila nikiusikia napata simanzi moyoni😔 mwangu unajuwa kutunga kaka🙏🏻
2026-09-05 08:27:52
2
To see more videos from user @dullamakabila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About