TATIZO ni kwamba hamufuatiliii ..... hii clip MWANZO mumeikataa... pili yy AMESEMA wanazuoni wanasema.. Sasa ikiwe c mzima itakuwa umewatukana hawa wanazuoni Kwa sababu yy ameyanikuu Kwa wasomi
2026-09-05 07:36:02
1
## ALLY ##22 :
nenda sikiliza clip vzr yaan hivi mnapotosha ummah kbs je umemsikiliza mwanzo mwisho au unamradi ili mradi uonekane acheni hizo bhn ukitaka kufanya kumraddi mtu tuweke maneno yake yote aliyo yasema siyo kukata clip kama hivi
2026-09-05 08:36:04
1
Muhammad Amur :
SHIDA YE2 M2 AKIMAANSHA KI2 TUNAOGOPA KUFUATANA NA KUULIZANA. ISTOSHE TUMETAWALIWA NA TEKNIK ZA KIUNAFIK. TUMEKUAMINI WEWE SHEIKH WE2 KWA NINI HAUKUTUONESHA FULL VIDEO,
UMEIKATA.
2026-09-06 13:29:09
0
To see more videos from user @abufafiassalafytv, please go to the Tikwm
homepage.