@automatewithai_tz: #duet with @Marcin AI AGI — Artificial General Intelligence — ni aina ya AI inayolenga kuwa na uwezo wa kujifunza, kufikiri na kufanya tasks mbalimbali kama binadamu. Tofauti na AI ya kawaida inayofanya specific tasks, AGI inalenga kuwa general-purpose intelligence. 🚀 AGI inaweza kubadilisha kabisa jinsi tunavyofanya kazi, biashara na kujifunza. Je, Tanzania iko tayari kwa AGI? Follow @automatewithai_tz kwa elimu zaidi kuhusu AI. #AutomateWithAI #AGI #AITanzania #AIforAfrica

Reinafrida | AI Automation
Reinafrida | AI Automation
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 05:14:11 GMT
414
20
2
0

Music

Download

Comments

sajjad07493
Sajjad :
awesome
2026-09-05 06:39:46
0
maher_0427
Maher :
napenda sana contents zako madam 🥰
2026-09-05 05:30:54
0
To see more videos from user @automatewithai_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About