@lobitv122: Watafutaji wa Kitanzania waliokuwa africa kusini wakiwa kwenye ndege ya pamoja wakirejea Tanzania kwa msaada wa serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania kutokana na machafuko yaliyotokea Africa kusini kwa raia wote wa kigeni kurudi katika nchi zao

LOBI TV HD
LOBI TV HD
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 05:16:18 GMT
140703
4956
537
325

Music

Download

Comments

user90840706182024
Bara henry :
tochi from deftly i know you [Tears of joy] i can see you 😉
2026-09-07 00:36:38
0
mil17366
mil :
South kweli wako sahihi. Wamesalimika na matatizo
2026-09-05 07:03:26
73
user3581639305799
da emmy😘 :
ukute nauli tunawalipia sisi
2026-09-05 09:00:25
15
tiffah09
Tiffah🧕🏼🤑🇹🇿🤎 :
mbna asilimia 98 wamechokaa
2026-09-05 07:10:01
16
lomiez
Lommiez :
Haiendi popote imesambaaa 😂😂😂😂
2026-09-05 12:29:48
9
mudathiry79
Muda Jr :
mngewaacha2 au selikali jalibuni kutafuta sehemu kwa ajili ya hawa watu kuish watengewe eneo lao
2026-09-05 14:22:36
21
useryunus14
user99624562421846 :
serekali hawa wangetafutiwa mji wao
2026-09-05 17:56:58
13
shabir.murtaza5
Shabir 2️⃣6️⃣ :
Hakuna hata mwema hapo
2026-09-05 07:59:12
13
mudrck00
mudrck :
nyumba za urithi zimeuzwa cement 26000 sijui itakuwaje
2026-09-05 14:44:25
14
sifah608
Sifah 🇹🇿🇲🇶🇦🇪👐❤️ :
Watanga walienda wengi sana kipindi hicho
2026-09-05 07:37:46
9
dafrosa33
Be smart always :
Mbon wote wazee jamani
2026-09-05 13:23:53
6
zainab.dadi6
Zainab Dadi :
sasa wanarudi Hali hii kutakuwa salama kweli
2026-09-05 15:18:01
6
janefrank873
🌹 :
sasa awa walienda kufanya nni uko
2026-09-05 08:27:36
7
jeff.master10
JEFF MASTER1 :
sisi tulioko nje ya nchi ndio tunaelewa thamani ya hiki serikali ilichofanya hayo mengine tuyaache aisee serikali imethamini raia wake nchi za watu ngumu sana pakichafuka raha ya kurudi nyumbani hata kama huna kitu nikubwa sana
2026-09-05 14:28:09
10
cutyledy8
cutyledy :
mtumeee ndio kwanza nimenunua i phone 17 jana kuna usalama kweli hapa[Innocent][Innocent]
2026-09-06 16:57:06
7
dalali_mweusi_kigamboni
DALALI_KIGAMBONI_MWEUSI1✅ :
daah ila jamaa wamechoka sana wangefikia ata kambi za kijeshi wapate mafunzo wakae sawa kwa kwelii,ingependeza sana💯
2026-09-06 11:08:11
8
joy_bebe1
Joy Malick :
Mama Samia jmn kazi anayo, nyie hao ndo vijana waliotoka South jmn. Watu watamlaumi huyu mama bure lkn vijana wenyewendo hao jmn
2026-09-05 11:10:39
8
tatu.hamza1
Tatu Hamza :
duu ni uzuni Kwa kweli
2026-09-06 11:34:46
0
zahormohammed181
Zahor Mohammed :
kwa kifupi hapa serikali imebeba mzigo wa kugharamia wengi wao hawawezi chochote zaidi ya uhalifu na upusha
2026-09-06 16:28:22
5
reytorreslanda
reytorreslanda :
mmmmmmh tumeletewa balaa
2026-09-07 04:20:40
0
kadigaali447
Kadiga Ali :
huyo alievaa mzula mweusi x wangu huyo
2026-09-05 20:52:53
0
userfatma725
fatmah :
kundi hili naweza bahatisha mume naona kidogo walionona wapo japo ni mmojammoja wale wa mwanzo dah
2026-09-07 06:46:54
1
.jeniroooo
jeniroooo :
tumekwishaa😔😔🙏na wanalud kw ndege
2026-09-05 12:13:10
3
anifumsulau123
Anifu🫆🦅 :
Alikiba alikuwa mbele ya muda
2026-09-06 09:29:27
2
sajda.adams
Sajda Adams :
Nauliza tu,how bad was the situation in S.A for Tanzanians,😳
2026-09-05 12:36:45
3
To see more videos from user @lobitv122, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About