@gwajimanization_: SIKU ZA MWISHO HAZITAKUJA KAMA UNAVYOFIKIRIA WEWE. MPINGA KRISTO HAINGII DUNIANI NA CHAPA AU ALAMA KAMA AMBAVYO WENGI HUZANI, ILA ANAKUJA KUPITIA MIFUMO YA TEKNOLOJIA NA SYSTEM ZA DUNIA HII. UKIPITWA NA UNYAKUO, SIMAMA IMARA. USIKUBALI KUPOKEA HIYO NAMBA 666 WALA HIYO MIFUMO YA KIDIJTALI. UKISHAINGIA KWENYE HIYO MIFUMO UKAIPOKEA 666, MILANGO YA TOBA INAFUNGWA PAPO HAPO. HAKUNA KUOKOKA TENA!

GWAJIMANIZATION
GWAJIMANIZATION
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 05:55:33 GMT
92208
7202
149
407

Music

Download

Comments

carolineatuhairw4
Caroline Atuhairwe :
thats true man of God
2026-09-08 04:58:13
0
athanas0930
Athanas 🙏 :
tuko busy na tiktok, Instagram,WhatsApp hii ndo mifumo yenyewe 🙏
2026-09-07 10:48:56
13
word.ofgd
WORLD O F GOD :
hii ilikua injilia ya final watu tubuni sasa maneno haya hayata pita
2026-09-05 09:42:16
64
salomestanley6
salome :
isije kuwa chatgyp😂😂
2026-09-05 10:42:17
17
adventurous.lady
adventurous lady :
isije kuwa nida
2026-09-05 19:01:56
8
spero195
spero195 :
,,TIKTOK, INSTAGRAM, AI,CHATGTP,FACEBOOK
2026-09-07 06:27:46
1
shadrack.yusuph
Shadrack Yusuph :
AMNA KITU KAMA hicho ni UONGO
2026-09-05 11:04:23
4
doricascharles71
Doricas Charles :
Yesu nipe mwisho mwema kabula ya haya kutokea
2026-09-08 11:33:44
6
user7631749553473
Apsa laban :
Nida ndyo no yenyewe sasa
2026-09-07 12:10:19
1
nurukayoka
Michael kayoka :
hapo ni Siri huwezi kujua
2026-09-06 02:54:36
1
alexander.ngewa
Alexander Ngewa :
mie usema heri mungu hageumba mwanadamu..mashida tupu
2026-09-05 16:07:12
2
gati.christopher
GATI CHRISTOPHER :
hii mifumo itakua hapa hapa kwenye cm zetu na tutajikuta tumejisajili wenyewe tayar kwa tunavopenda kwenda na nyakat mara cjui Ai, mara chart nn cjui n hatar
2026-09-05 14:13:45
4
jito9262
user2979441609361 :
mpaka Sasa tumeshafika Nusu Ya Hiyo Namba Kwanza Unaambiwa Pesa mnawekewa Bank tunafanya Malipo kwa kadi au Lipa Namba Tunatambuliwa kwa Namba Za Nida kila Kitu Ni Namba Sasa Hapo Imebaki Nini Hatutaweza kuuza wala kununua bila Hizo chapa Mwenyezi Mungu Mungu wa Rehema Na Neema Atusaidie Hatujui hata Tuko wapi tunaelekea Wapi Naamini Mungu Ni mwema atatunusuru
2026-09-05 16:44:39
9
benjaminiiseme
Jesca :
thanks paster wengene awasemi
2026-09-07 13:55:53
1
mbonye23
mbonye23 :
hv kwan shetan ni nan jaman
2026-09-06 06:21:55
3
__its_ed
__its_ed :
NIDA ni mojawapo ya mifumo hiyo
2026-09-07 13:38:47
2
lucyhenry68
lucyhenry68 :
Halfu kuna hii lipa kwa simu 😢😢
2026-09-07 16:42:16
2
modester.amos
Modester Amos :
Adi naogopa ee mungu nisaidie
2026-09-07 19:02:49
1
subby0921
Subby :
Habari njema ya ufalme itahubiriwa ulimwengu wote natak hapo mwisho ndipo utakapokuja
2026-09-05 16:38:55
3
rosejohn726
rosejohn5017 :
Ni ukweli kabisaaa
2026-09-05 12:31:09
2
dorce.joseph6
dorcejoseph :
Mungu nijalie mwisho mwem
2026-09-05 17:05:26
1
user2480144261441
IKEM :
l
2026-09-05 11:56:33
1
jenas061
💮flower :
mpka apa tusha ingia hiz cm mpka tunakuona tayali tusha ingia😁
2026-09-05 10:00:38
1
user8881900116145
majabyr :
umefunga video sawa
2026-09-05 11:03:15
0
silasemmanuel461
Silas Emmanuel🌹🙏 :
natak utakp fundish inifikie NAMI najue et
2026-09-05 20:33:29
0
To see more videos from user @gwajimanization_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About