@saeed.omar.alshir: #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿

SAEED OMAR ALSHIRAZY 🇰🇪 🇨🇦
SAEED OMAR ALSHIRAZY 🇰🇪 🇨🇦
Open In TikTok:
Region: CA
Saturday 05 September 2026 06:11:58 GMT
11648
805
89
108

Music

Download

Comments

mr_deen01
Mr_Deen🪄 :
Mcheni Allah sheikh amesema mwanzo hakuna dalili juu ya hilo japo kumepokewa kutoka kwa baadhi ya maswahaba wakifanya hivo ni ijtihad kutoka kwao (hii ni hukmu ya maswahaba wao ni mujtahiduun wakipatia wamepata ujira mara mbili wakikosea wanapata ujira mara moja) halafu akaeleza watu waina ya pili ambao siyo mujtahiduun wengi wanao fanya ni watu ambao siyo wasomi wa ilmu na watu wakawaida, wapi hapo alisema kama maswahaba wajinga
2026-09-05 08:41:44
11
amido7777
Amido :
Dj ajaribu kumkosoa Sheikh Saleh bin Fawzan 😂
2026-09-05 19:02:19
3
saleemhemedy
Saleem Hemedy :
Dj Side
2026-09-05 15:59:13
2
cadillacofficial
Hyper-trophy. :
sheikh Said tunakupenda sana ila Usijaribu kumkosoa Sheikh Fauzan
2026-09-05 15:32:12
4
abunasra385
Abu Nasra :
Hii tabia ya kukatakata clips za Mashekhe ilitoka wapi?Jameni nisaidieni mnieleze ni wapi Sh.Fauzan kasema kuwa Maswahaba ni awaam na majahili kwa kubusu mus-haf?Hii sio kueneza fitna na kumzulia urongo shekh?
2026-09-05 16:04:23
3
user9272146706983
أبو :
Ustadh Jaafar asema babake ni boda kuliko swabaha…Akasema si lazima kwenda madina ukiweza kwenda mambrui imetosha…alipokua akioshwa ajigeuza mwenyewe
2026-09-05 09:02:14
3
kibuntadecorations
omarykibunta75gmail.com6 :
sasa shekh fauzani kasema wapi maneno ulioyaandika kwenye maelezo yako mbona shekh kaongea kitu kimeeleweka haaaswa .
2026-09-06 05:48:14
1
user753871012216
user753871012216 yussuff :
ni vizuri mrekebishe kama amekosea kwa kiarabu ili asikie na arekebishe ju atakusikia.na naona nyinyi mnangonja mashekhe wa kosee ili muwafedheheshe
2026-09-05 07:56:53
2
abulmurtadhwa
أبوالمرتضى عين الرضا علي جمعة :
NA KUNAYO ZAIDI YA HAYO UST WANGU
2026-09-05 08:30:10
2
ahmedmwenye
Ahmed Mwenye :
ustadh Said tunafaidika sana kwa darsa zako. Allah baarik
2026-09-13 06:31:35
1
hussein.lugoda
Hussein Lugoda :
Allah akutie nguvu ustadh said una tubainishia majamb
2026-09-05 13:06:18
1
sabraham62
Abraham :
لَا تَحْسَبَنَالَذِينَيَفْرَحُونَبِمَا أَتَوْا وَيُحِبُونَأَنْيُحْمَدُوا بِمَا لَمْيَفْعَلُوا فَلَا تَحْسَبَنَهُمْبِمَفَازَةٍ مِنَالْعَذَابِ ۖ وَلَهُمْعَذَابٌ أَلِيمٌAl Imraan 188 188. Usiwadhanie kabisa wale wanao furahia waliyo yafanya, na wakapenda kusifiwa kwa wasiyo yatenda, usiwadhanie kuwa watasalimika na adhabu. Yao wao ni adhabu chungu.
2026-09-15 10:57:39
0
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
kama hadithi hii kwenye Al bkhari: (مَن رآني في المنام فسيراني في اليقظة -أو كأنما رآني في اليقظة- ولا يتمثل الشيطان بي ukomona Mtume kwenye ndoto, utamuwa hali uko macho, kwa shitani hawezi hujifananisha na MTU... MTU wowote alisema nimeona Mtume kwa macho watasema uwongo kwani shikhe Fulani wao amepinga..
2026-09-05 10:18:30
1
ubay.ayub01
ubay ayub :
ume elewa alisho kisema shekhe
2026-09-05 07:46:07
1
madsastul.irshad.i
MADSASTUL IRSHAD INTISHARU DAH :
سبحان الله العظيم كيف ويرون الحديث ويقولون لا يجوز
2026-09-13 11:37:06
0
hassuny29
user9486877611040 :
shukran khui. andika halaqa au part namba kwa video kabla ya kuposti itatuwezesha kufuatilia pia
2026-09-05 08:28:35
1
solotangomhondo
ابوو مجهدىن :
dj
2026-09-11 12:23:07
0
abu.kirua
Abu kirua :
ماشاءالله
2026-09-05 08:56:33
0
alfaqeer092
Alfaqeer :
Tuelimishe Shekh Said tupe elimu
2026-09-05 15:26:42
0
tumainizaidu
Toma Tz :
بارك الله
2026-09-05 17:03:11
0
beanstalk36
beanstalk36 :
Mpeni Piano akiendelea....
2026-09-05 17:50:38
0
user1845143682178
Anuar.h.مصباح@ :
naam shekh
2026-09-07 13:06:43
0
farajudin
ibnhassanabulhassan :
Yaasalaam
2026-09-08 06:36:31
0
abrahmanibnu.omar
IBNU ZINJIBAR :
Masufi mtakwenda kujibu wallah mbele ya Allah
2026-09-05 17:50:03
1
abu.alwy
khuzeir 39,500 :
na shida ni 1 saeed hawa mawahabi wahuku huwaabudu mawahabi wakule , kiukweli mawahabi wa huku hawana usemi wowote neno likitoka sauudia au likifanwa na wasauudi. sikuzote walikua wakisema kubusu mashekhe mkono ni haramu , lkni sahi inafaa, kwasabbu wale mabwana zao wa huko wamelikubali.
2026-09-05 08:41:45
0
To see more videos from user @saeed.omar.alshir, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About