@ohbeesyy: ☹️ #fyp #thizziswhatitis #bayarea #thebaddest

Pretty Mf.$💋
Pretty Mf.$💋
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 05 September 2026 06:25:40 GMT
411
36
3
0

Music

Download

Comments

To see more videos from user @ohbeesyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mtafiti wa teknolojia ya Akili Mnemba (AI), Jacob Coxon, ameyashutumu makampuni makubwa ya Marekani kwa kile alichokiita “kucheza na maisha ya watu” katika mashindano ya kuunda mifumo ya AI yenye uwezo unaoweza kuzidi ule wa binadamu. Coxon, ambaye aliwahi kufanya kazi katika kampuni ya Anthropic na kabla yake OpenAI, amejiuzulu na kutoa tahadhari hiyo kupitia mtandao wa X, akisema AI ya siku zijazo inaweza kuwa na uwezo wa kudukua mifumo mbalimbali, huku ikifikia hatua ya kuwa na mamlaka na rasilimali zake. Mtafiti huyo mwenye umri wa miaka 27 amesema watengenezaji wakubwa wa AI wanafahamu hatari zinazoweza kujitokeza, ikiwemo uwezekano wa teknolojia hiyo kuleta madhara makubwa kwa binadamu ifikapo mwishoni mwa muongo huu. Ameonya pia kuwa hali inaweza kuwa mbaya zaidi ifikapo mwishoni mwa mwaka 2027. Coxon amesema hatari kubwa zaidi ni pale AI itakapofikia uwezo wa kujiboresha yenyewe, hatua ambayo inaweza kufanya iwe vigumu kwa binadamu kuidhibiti. Ameongeza kuwa kampuni hizo badala ya kuzingatia madhara yanayoweza kujitokeza, zinaendelea kushindana kutengeneza mifumo yenye uwezo mkubwa zaidi. Wasiwasi huo umeungwa mkono na mtafiti mwingine wa Anthropic, Evan Hubinger, anayefanya kazi katika eneo la kuhakikisha AI inaendana na maslahi ya binadamu, ambaye amesema uwezekano wa AI kuwaua binadamu katika muongo ujao ni zaidi ya asilimia 10. #somalitiktok #dodomatanzania #kenyantiktok🇰🇪🇰🇪 #bujumbura_burundi🇧🇮 #rwandatiktok🇷🇼 #zibabwetiktok #mbeyatikto #burunditiktok🇧🇮 #kampala_uganda #southafricatikto #mtwarandiok #nairobitiktokers #daressalaam #diamondplatnum #BUNGENIDODOMA #mozzarella #kinshasa #congolai

About