@methuselah.bimbig: Mungu yuko mmoja tu — “MIMI NIKO AMBAYE NIKO.” 🙏 Kama Mungu amekufanyia jambo lolote katika maisha yako, usinyamaze. Leo toa ushuhuda wako na umshukuru kwa wema wake. ❤️ 🗣️ Tuambie kwenye comment: Ni jambo gani Mungu amekufanyia ambalo huwezi kulisahau? Mungu huyu huyu aliyekutendea jana, bado anatenda hata leo. 🙌✨ #Ushuhuda #ShukraniKwaMungu #MunguNiMwema #Faith #Jesus