@ilala_sda_church: 🚨 *ONE VOICE | KAZI YA MUNGU INAENDELEA* 🚨 Neno la Mungu linatangazwa…….. _“Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Injili”_ *Marko 16:15* Huu ni wito kwa watu wote! Mungu ametutendea makuu na hatuwezi kunyamaza 🤍 Kila ushuhuda ni silaha. Kila neno la Injili ni nuru. Tumepokea neema bure, na sasa ni zamu yetu kuitangaza. Huu ni wakati wa kusimama pamoja kama SAUTI MOJA Kutangaza upendo, uponyaji, na ukombozi wa Yesu. Comment *“Niko Tayari”* kama utakuwa tayari pamoja nasi kushiriki kazi ya Mungu 🙌 _“Nanyi mtakuwa mashahidi wangu... mpaka miisho ya dunia.”_ *Matendo 1:8* #OneVoice #EnendeniMkaihubiri #MunguNiMkuu