@zaramoonlinetv: Muasisi wa BongoFlava Honors, Jongwe, amezungumzia hatua ya mwanamuziki 20 Percent kusaini rasmi mkataba kwa ajili ya kushiriki katika Season 4 ya BongoFlava Honors. Jongwe amesisitiza kuwa mafanikio ya 20 Percent mwaka 2011, ambapo alifanikiwa kushinda tuzo 5, hayakuwa bahati bali yalitokana na uwezo wake mkubwa wa kuimba. 🎤🔥 📅 Oktoba 30, 2026 📍 SuperDome, Masaki – Dar es Salaam #BongoFlavaHonors #20Percent #BongoFlava #ZaramoOnlineTV #habarizotezikohapa

ZaramoOnlineTv
ZaramoOnlineTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 07:13:43 GMT
6762
326
4
2

Music

Download

Comments

selemannyaunge0
seleman Nyaunge :
good
2026-09-05 10:11:44
0
user6050157827425
userPascar moses :
Aminiaà jongwe 20%achana nae kabisaa pongez kwake
2026-09-05 09:55:08
0
tecina255
tecinA :
Mchango wa 20% ni zaidi ya 20% yenyewe
2026-09-05 09:41:07
0
To see more videos from user @zaramoonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About