@unspokenties_podcast: @ahmedally_ ameweka wazi msimamo wake kuhusu kiwango cha Ibrahimu Doumbia. Kwa mujibu wa kauli yake, hakuna mchezaji anayemfikia Doumbia kwa ubora kwa sasa Je, kweli Ibrahimu Doumbia ndiye mchezaji bora kwa sasa Tanzania? Host: @sellamkisi Guest: @ahmedally ๐ฅ @selphix_media Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media uweze kutazama Episode kamili. Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zinazogusa Elimu, Jamii na Burudani Zaidi. #unspokenties #SelphixUpdates #selphix_media
UNSPOKEN TIES TANZANIA
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 07:19:09 GMT
Music
Download
Comments
chen :
apo kwenye umasrufu ni kweli
2026-09-06 06:27:19
15
Falcon 9824 :
Yaani alichokisema na mlichokiandik vitu viwili tofauti yaani
2026-09-05 15:34:43
13
Chimamy๐ค๐น๐ฟ97 :
Halijui alisemalo
2026-09-05 20:31:52
3
Athumani :
doumbia
2026-09-05 16:37:13
2
awilo :
ni mchezaji maarufu xana
2026-09-05 18:02:42
3
David Minja :
Doumbia ni maarufu coz ndie mchezaji anaeongelewa sana
2026-09-06 18:34:42
3
Philimo best sound :
kwel
2026-09-10 10:53:55
0
Asef :
Mimi ni yanga ila kweli dombian jaman katrend sana ๐๐๐
2026-09-08 07:28:53
1
Neema Daniel :
sioendi Simba ila nakupenda weweee
2026-09-08 10:20:54
1
Kake Simba :
kabisaa
2026-09-05 20:07:53
1
hamidajs :
๐๐๐๐๐๐๐๐ aunabaya baba
2026-09-05 21:20:38
2
HQ WORLDWIDE :
ndy kka
2026-09-08 11:49:20
0
kasimu ramadhan :
kweli kabisaa
2026-09-08 18:45:07
0
Edward Adam :
kweli
2026-09-05 13:20:01
1
user2552780121361 :
Sisi Wana Simba tunabahati nzuri ya kupata mchezeji mmoja Ambaye anaipa Simba jina au umaulutu mfano Dumbia .chama .Lete mzungu nickison Simba oyoooo
2026-09-07 20:35:09
2
Esther ๐๐ :
Sanaa
2026-09-05 19:21:45
1
angel ๐ฏ :
Mim pia ๐๐ ila Dombia nimempenda tu vijimambo vyake๐
2026-09-09 16:55:38
0
True love :
tutajua๐๐
2026-09-06 08:13:05
0
ELIAS NONGA :
hahahahahahahahahahahah!!!!!!!@@@@@!
2026-09-07 09:37:13
0
frank mwazembe :
ni kweli yeye ndo anahiti kwa sasa ata mandonga alikuwa sita bila kujua kupigan
2026-09-07 11:51:07
1
ELIAS NONGA :
shida haukumuelewesha umaarufu upi
2026-09-07 09:38:24
0
D_k :
kwel
2026-09-11 06:56:11
0
Mhangwa :
yes
2026-09-08 07:23:37
0
Golden boy :
kweli bro
2026-09-07 14:41:09
0
Ziadi Abasi :
kabisa
2026-09-06 10:24:58
0
To see more videos from user @unspokenties_podcast, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.