@gmtonlinetv: LEO LEO LEO.... #trending #foryou #fypシ #wedding #weddingphotography #fyp #fyppp

dc Magoti Updates
dc Magoti Updates
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 07:27:30 GMT
78738
5042
216
87

Music

Download

Comments

dokta.rubuye
Dokta Rubuye :
Natamani uyu Mh apewe Mkoa wa Dar es salaam, najua Kuna watu hawaamini kama ataweza, ila uyu mungu amempa kipawa naamini Kuna mambo angeyamaliza kwa akili na ushirikiano sio nguvu .
2026-09-05 09:17:29
35
maimunachitale
maimuna Chitale :
Mh DC nimefurahi eti mambo ya humu tu happiness is free 🤣🤣🤣
2026-09-05 07:45:46
13
madam.maggie2
madam Maggie 🎀🌹 :
ifike mahala mkuu wa wilaya awe wa kudumu bhana mi nimemkubali sana mh Dc ameiweka kisarawe yote pamoja saiz wana kisarawe wana nyuso za furaha kila cku wapo lelelele kama mama sheha😂😂😂
2026-09-05 09:45:26
22
user1140350269845
user1140350269845 :
Badala ya kuleta maendeleoo
2026-09-05 12:53:58
1
ramson.bush8
RAMSO Mtanzania🇹🇿🇹🇿 :
Nilikuwa na mawazo yangu hapa nimekutana na hii video nimejikuta nimecheka sana
2026-09-06 05:11:44
1
user8431993055513
user8431993055513 :
jamani magoti Hadi raha
2026-09-05 08:26:31
10
mman46
mman33Nasser :
DC huyu ni kiboko wa ma DC Tanzania 🥰
2026-09-05 09:40:47
6
sharifa_750
sharifa :
mh. naomba plot karibu nawewe
2026-09-05 09:22:50
3
bakari49599
bakari :
dc nataka mshangazi mm
2026-09-05 08:40:30
6
mshishi_7
Official-shishi boys community :
kuna uongozi na utumishi ila huyu ni mtumishi wa mungu hakika mama samia huyu DC tunaomba utuletee chato na Sisi tufurahie na tuinjoy nasi tupate kiongozi asielingia uazifa wake na kujiona ni kama mtu wakawaida tu nampenda sana huyu DC
2026-09-06 05:40:06
1
user8317330122588
rich mpole :
mh mkuu wa wilaya hongera kwa kuwa karibu na wananchi mungu akuzidishie baraka
2026-09-05 08:50:35
7
ngole.nguda0
Ngole Nguda :
DC mambo yahum 2
2026-09-05 16:36:22
1
al.quaida.kikos.j
AL Quaida Kikos Jesh :
kisalawe bodo niyako tunakupenda sana mkuu mungu akuweke ukifa usizikwe
2026-09-06 08:13:37
1
aboubakar.jr.juni
Abubakari :
Huyu anastahili kuwa mbunge
2026-09-06 05:10:28
1
oj.1122
omarykiama :
mkuu wa wilaya wewe unafanya kazi unaelewa maana ya majukumu uwe mfano kwa viongozi wengine
2026-09-05 08:20:34
5
amidu7597
amidu :
da namkubali sana kiongozi
2026-09-05 08:58:15
1
yaumu.juma
Yaumu Juma :
🥰🥰🥰
2026-09-05 09:02:23
1
sandramanyori
Redgunda :
kaka yangu baba ITOSYA UNA ROHO YAKO ,UNA PEPO YAKO KESHO KWA MUMGU,LOVE YOU KAKA YANGU MAGOTI
2026-09-06 07:08:29
1
upatown
little 777 :
mh DC nimekupenda bure 😂😂humu tuu
2026-09-05 11:43:40
1
chawala.godfrey
Chawala Godfrey :
Dc magoti umetisha sana Mungu akuweke miaka mingi kaka😁😁😁
2026-09-05 16:30:18
1
gasto.mbaga
Gasto mbaga :
Mkuu wa wilaya tunae na tunatamba nae mwenyezi mungu mpe maisha marefu anaongoza kwa mfano kwanini tusimpe sifa zake
2026-09-05 10:17:01
2
mnyongerogati
mnyongerogati :
safi sana mkuu
2026-09-05 07:43:42
1
user9141438511081
mom3/fneeb :
mkuu wa wilaya pambeee🤣🤣🤣🤣
2026-09-05 14:12:19
1
tiktok.com7um
JEY :
👍👍👍👍 TANGIA TUPATE HUURU TANZANIAN ATUJAWAI KUONA MKUU WA WIRAYA KAMA MAGOTI HEEMWENYEZI MUNGU UHURINDE KIOGOZOZI KAMA UYUU 👍
2026-09-05 10:13:32
1
user2292538167407
Emanueli Toy :
safiiii
2026-09-05 07:38:28
0
To see more videos from user @gmtonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About