@michealjaybrown: Replying to @user8120932677908 #michealjaybrown #indiansong #tanzaniantiktok🇹🇿

Michael Jaybrown
Michael Jaybrown
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 07:38:05 GMT
138833
14962
107
1057

Music

Download

Comments

kh..laulau
Laukhan :
naumia ila siwezi sema navoumia naishia kulia2
2026-09-05 16:52:50
10
naifath.og
hadija mbaraka :
Kuna sik moja hivi kpnd nipo shule nlikuw na mpnz ila yeye alikuwa darasa lingine.kuna sik nlikimbia darasa ninalo soma nkaend kweny darasa analo soma mpnz Wang ila nlijuta kwanin nlienda maana machozi😭😭😭 yalinitoka mwenyew
2026-09-10 09:34:32
2
khonshu046
khonshu :
Dah ipo siku nikiwa na nguvu nitaongea kwa sauti😞
2026-09-05 07:51:39
5
userbunduckdealpha
Bunduĉk de alpha :
nilimpenda mtu aliyekua ananichit na niliogopa kumwambia kwa kuogopa tuta achana moja kwa ajili yangu bro
2026-10-19 08:42:45
3
firdalla.farsih
♓💧 千丨尺ᗪ卂ㄥㄥ卂 ♓💧 :
haya maisha sometimes unaweza sema peke yako ndio unateswa na mapenzi kumbe kuna wengii na wanapitia mengii kimy kimy 😄😄😄
2026-09-05 18:53:23
9
ammyking001
☬MR KING☬🍀🖇 :
Dah nakutana na hii post nikiwa na uchungu 🙌🏽😭
2026-09-10 10:48:38
6
mussarashidi253
mozee boyi :
mtu anae taka kutimiza ndoto zake awezi kupoteza muda kwajiri y mpezi tafuta pesaa
2026-09-05 23:04:56
4
mehmetazar332
مهمت :
familia nipe moja kunamtu nampenda lakini muongo sana ananiahidi uwongo sana
2026-09-05 20:21:59
2
user6315129155544
Mussa Katega @the Dony. :
😳😳😳 inauma unapanda usipo pendwa🥺🥺
2026-10-04 09:33:20
1
hamadiamrani616
BIG7official :
tupo weng tupo weng 😂😂
2026-09-08 12:16:12
2
mcute046
Mcute❤ :
Alidanganya ananipenda mwaka mzima nimekuja kujua juzi kumbe ananitumia 🥺🥺🥺 ila mapenzii yarrab nivushe kwenye hili inshaallah
2026-09-13 03:50:44
1
recho.mgeni
recho mgeni :
nime mfumania mara ya kwanza kaomba msamaha saa kumi uck saa mbili asubuh nime mfumania tena ivi ni nini hiki jaman
2026-09-18 17:44:55
1
mujarrab7
Mujarrab online tv :
moyo wangu nyamaza kulia 😭😭😭 wakwako hajazaliwa
2026-09-12 20:05:55
1
user3571124390982
user3571124390982 :
mfasili umenena vyema
2026-09-05 23:25:57
1
seleman.saidi.ruf
Seleman Saidi Rufunga :
nakubali apo
2026-09-06 07:33:48
1
tiffanah5
tiffanah :
imenigusa mpk naliya juu ya mapenz ya Mme wangu
2026-09-08 07:09:20
2
msema.mazurui
Bati bomba tz ltd :
ukiyaelewa mapenzi umeyaelewq maisha
2026-09-06 04:55:52
1
elizacrispin3
Eliza crispin👩‍⚕️💐🥀❣️🔥 :
Nimeumia sana nakulia sana
2026-09-06 12:43:35
2
boss.amurane
boss amurane :
🔥monto
2026-09-05 15:43:40
2
poptom58
Tom :
the Name of DJ
2026-09-06 19:45:30
1
king.abdullah.sai
Mr smile dully :
nipe moja ya nampenda mtu ilayeye ananichukulia kama rafiki tuuh
2026-09-06 07:41:21
1
user3928848069069
DAVID SIMBEYE :
naomba jina la hiyo move
2026-09-06 09:30:13
1
recho.mgeni
recho mgeni :
kuna mambo yanatokea ad unajiuliza una kasoro gani kama mtu anakosea anaomba msamahan analudia tena aiseee🥺
2026-09-18 17:42:02
1
azamswalehe
Azam Swalehe :
me nimeachw usiku alisema nitamuoa naomba moja kaka pleas nakuomba sana kumb anamwaingne😰😰😰😰
2026-09-06 04:59:50
1
jasili82
jasili :
jina la movie
2026-09-06 18:12:12
1
To see more videos from user @michealjaybrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About