Salam alaikum my brother am a christian but I like your maturity 😊
2026-09-05 09:41:19
0
Loveness Yosiah :
wewe kaka mungu akulinde uko na ukweli sana hii kitu huwa inaniuma sana mm kama mkristo
2026-09-05 10:40:03
1
@mwati 303 :
Yani ubarikiwe kwakweli sie kanisani hatufundishwi kumchukia yoyote Wala kujiona Bora kuliko yoyote
2026-09-05 10:09:39
4
ishengoma :
kafiri maana yake n Nini kwanza mm uwa sujui Wana mahaniaha nn
2026-09-05 09:49:38
4
KING OF BAHARIA :
hakika wewe ni shekhe mwenye hakili kuliko hao wanao pandikiziana udini tu hakika mbingu niyako wapo mashekhe wengi hawata ihonja mbingu kwa kubaguana🤝🤝🤝🤝
2026-09-05 09:15:10
7
Athanas Patrick :
Yani huyu jama anaona mbali sana kijana mdogo ila una akili sana natamani mungu aendelee kukujalia uwe hata kiongozi mkuu kwenye nchi yetu
2026-09-05 08:56:09
5
ANKO_LIGANGA :
mwenyez mungu akujaalie tunashukuru sana
2026-09-05 10:27:39
1
𝑱𝒂𝒄𝒌 𝑸𝒂𝒓𝒍𝒐𝒔 :
huyu jamaa ana akili sana ,,
2026-09-05 09:15:04
3
Frola Mwangonji :
Mungu akubariki Mungu alimuumba wanadam wote sawa sisi ndio twabaguana
nyinyi siwaelew yani nshindwa kuelewa ndio maan nipo kitaaa namini mungu yupo
2026-09-05 09:52:13
1
mjuni03 :
Yaani kaka Mungu akulinde sana
2026-09-05 10:00:22
1
FLEDIY CHIMGEGE 45=85=44 :
wewe unazo akili sana nakupenda bul
2026-09-05 08:40:18
2
Mwak :
Mungu akulinde sana. Sijawahi amini hata siku moja na sijafundishwa kuwa Waisilamu ni ni adui wa Imani yangu hata siku moja.
2026-09-05 10:13:43
1
FEMONE SHOP🙏🙏 :
Kafiri ni mtu asiyekuwa na dini mm ndio ninavyojua lkn sisi wakristo tunadini yetu ambayo ndio hii ya kikristo sasa nashangaa wanatuita makafiri ili hali tunadini yetu
2026-09-05 10:06:24
0
abelly :
usiwalaumu sana broo watu wamechanganikiwa
2026-09-05 09:48:43
0
KBD :
wewe din unajua. Mungu akupe maisha bora
2026-09-05 09:30:42
1
Mussa Nduwimana :
Kweli kabisa
2026-09-05 09:00:55
1
user7219529373381 :
Ostadh Zayd Ibrahim.
Mimi ni Mkristo Mlokole tunawapenda sana waislam ndugu zetu..
Tunakupenda Kwa Sababu Wewe ni Msema Kweli.
"Ungetakiwa uwe Mufti Mkuu wa Tanzania, maana unachoongea ilitakiwa Cheo cha Mufti ndio kiseme hayo"
2026-09-05 09:55:40
2
POWER 🔋 :
Kaka kwa akili na ufahamu wako, umemushinda hata Ustadhi mazinge na wengi wao.
Mungu azidi kukuongoza uendelee kuhubiri ukweli, na mwisho wako uwe mwema
2026-09-05 09:39:00
1
ELIAS LEMA :
Ubarkiwe sana ndugu yangu🙏🙏🙏
2026-09-05 10:43:49
0
vava :
shekhe kwenda makkah ukiwa mkristo ni vibaya?? maana ndo nisha enda mala 3 tena nazunguka ila sijuwi vyakuongea nazunguka Tu kama wengine nahivi kabla ya ramadhan nitaenda sasa kuna muislam kaniambia eti nitatoka namatatizo nikiwa naenda huko kama si muislam naogopa na maboss zangu nawambia kama sitaki kwenda hawataki kuniacha nachanganyikiwa mie
2026-09-05 10:44:23
0
To see more videos from user @ustadhzaydibrahim, please go to the Tikwm
homepage.