Katika kitu nilicho furah yaaan Mungu amejibu make hapo kanisan wamezidi watu 💯💯💯🙏🙏
2026-09-05 09:57:28
11
ms.___pendo :
Mavazi Yana uhusiano kiroho sana tu wala msijidanganye na ndio maana MUNGU alikuwa anawaambia makuhani wavae mavazi ya aina fulani kwa nini asinge waambia wavae mavazi yeyote kwa sababu hayana shida?!!
2026-09-05 13:13:57
9
Angel Raphael :
Hii ndo hali saivi ndoipo kanisan kwetu Hadi make up siku ya harusi haturihusiwi, kusuka Rasta haitakiwi ni mwendovwa magauni ya soro na vilemba juu😍😍
2026-09-05 13:24:05
6
Hoc :
uuuuuh wow MUNGU UMEANZA KUTUTENGENEZA NIMEIPENDA HII.
2026-09-05 11:46:09
6
Reymsola :
sasa ivi mbona Azam Tv haupatikan hii chanel
2026-09-05 16:10:34
2
Neema Evance :
emeheeeee amen baba ubalikiw
2026-09-05 09:36:43
3
Amani Biseko :
Asante tunyooshee watu.👍👍
2026-09-05 10:02:49
2
Jacqueline Werles :
TUPATE WAP MTU KAMA HUYU AMBAE ROHO WA MUNGU AMEKAA KWA WINGI NDANIYAKE🤲🙏
2026-09-05 15:41:10
2
Abigael :
Ahsante YESU kwa kujibu maombi.🙏
2026-09-05 11:16:23
2
somacha :
barikiwa
2026-09-05 09:31:23
1
Sir. Ezel :
Kanisa letu hili lina Misingi mizuri sana🙌
2026-09-05 10:35:32
3
Andrew ess :
ameen utukufu wa mungu
2026-09-05 09:15:59
2
mwango jr :
aminaa kubwa
2026-09-05 09:19:07
1
debby.cj :
sasa TAG wame anza kuni furahisha
2026-09-05 14:12:35
1
Vailet Kilyinga :
Amina baba
2026-09-05 10:05:20
1
kazur🥰 :
amina😁
2026-09-05 10:59:17
1
joseph Masanja :
Amen 🙌🙌
2026-09-05 10:39:34
1
ATUKUZWE MWALUKASA :
Ameen
2026-09-05 09:10:05
1
𝕝𝕒𝕤𝕥 𝕓𝕠𝕣𝕟🥷🌹 :
ni kweli mana watu huwa wananiita Madamu
2026-09-05 10:40:52
1
NELSON ALISTIDES :
ubalikiwe sana
2026-09-05 19:19:07
0
heaven man :
Asante baba kwa kukumbusha vijana katika dimbwi zito la kufuatana na dunia
2026-09-05 20:42:58
0
TUSA :
safi sana
2026-09-05 20:32:46
0
ELIA MOLLEL :
Amina bishop
2026-09-05 20:19:22
0
neddy from heaven ❣️❣️❣️ :
wow
2026-09-06 02:48:40
0
maselejustine33 :
kwa sasa,how comes,labda...
2026-09-05 09:13:00
0
To see more videos from user @tagonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.