@mshindo_tv: Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dr. Khalid Salum Mohamed amesema zanzibar inatarajia Kuanzisha Airline yake kwa kushirikiana na kampuni ya EgyptAir kwa ajili ya kuanzisha kampuni ya ndege ya Serikali ya zanzibar, hatua inayolenga kuimarisha usafiri wa anga kwa safari za ndani na nje ya Nchi. Dr Khalid ameyasema Hayo wakati wa mapokezi ya ndege ya EgyptAir kutoka Misri , iliyowasili alfajiri ikiwa na abiria 152, kwa safari yake ya kwanza.
Mshindo tv
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 08:45:21 GMT
Music
Download
Comments
alisaleh1223 :
allah ajaalie lifanikiwe ishallah
2026-09-05 10:15:51
10
zanzibar ❤️ :
safi sana Allah Ajaalie tuwe na ndege kama dubai ishallAah kwa Mungu si kubwa hongera Mama Samia na Mwinyi
2026-09-05 10:28:02
3
Mbovu Rider :
Kumbe mlkuwa hmn ndege 😳😳😳
2026-09-05 17:19:35
0
Khan the boss :
kwanini tuchukue Egypt air wakati tunawaza kuongea na ATCL mkaingia mkataba nao
2026-09-05 10:04:46
0
SAYYD BARHASHI :
apo kwenye Ndege yetu ndiyo ume nifurahisha
2026-09-05 14:55:43
2
ahb :
kwa pemba jee
2026-09-05 12:38:08
0
Till one :
Vizuri ila mumejisahau sana mpk mnakera ila nimefurahi kw hili
2026-09-05 13:55:09
1
mr.madaitoto :
hongera viongozi wetu wananchi tuko pamoja
2026-09-05 09:34:36
3
OMMY :
air Tanzania na air Zanzibar Ina kuja ilokuwepo wakati wa jumbe ila Sasa Ina fuduliwa wap Zanzibar mitano Tena
2026-09-05 10:35:12
2
vuai suleiman :
itakuwa bora zaidi kulilo mabasi maana wananchi wengi wa zanzibar wastaafu wana biashara ya mabasi bora ikesha na viwanda msitusahau hata vya maji.
2026-09-05 09:14:25
0
Buthaynah :
Mkuu usiseme kwa saut kubwa kuna watu wataleta makasiriko sio muda hapa 😂
2026-09-05 17:23:31
0
Abdulkadir Mkubwa :
Safi Sana
2026-09-05 14:55:44
0
bintalib :
Muungano kwishaaaaaa
2026-09-05 15:23:12
0
putralchande :
muungano polepole unavunjika
2026-09-05 15:34:43
0
sidikii :
tuseme inshallah
2026-09-05 14:56:26
0
D.W :
Baada ya kuteremsha bei za vyakula mnafurahia ndege 🤣🤣
2026-09-05 15:20:29
0
Tetra James :
Safi sana
2026-09-05 08:57:11
2
sidikii :
Allah akbar
2026-09-05 14:55:58
0
J. B 🇴🇲 :
tumeumia muda mrefu tuenuweni nimuda WA Zanzibar sasa
2026-09-05 11:38:09
0
Mwinyi Foum :
msiongee mipango kabla" deal is done" hakafu mnafeli ... watu wana speculate what's hot in the deal .subira ndio ngao
2026-09-05 17:30:31
0
lahm2001 :
Sidhan km zitakua zinarukw
2026-09-05 14:36:40
0
Hb omy :
mm nsbr mpk ifanikiwe
2026-09-05 16:03:11
0
user145307859284 :
ulaji mengine huo
2026-09-05 14:38:09
0
dzeko🦅 :
mashallah
2026-09-05 10:14:30
0
To see more videos from user @mshindo_tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.