@emmanuelmaxmilian3: WAEBRANIA3:7-8Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mtaisikia sauti yake, 8.Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha, Siku ya kujaribiwa katika jangwa. #Lisikie Neno la kweli kwa Mtumishi Yeyote pasipo kujali dhehebu wala dini. Sisi ni Mwili mmoja Katika Bwana wetu Yesu aliyetuokoa. Amen 🙏