@madininews: Video inayosambaa mitandaoni kutoka India imeibua mjadala baada ya kuonyesha tukio la ugomvi ndani ya familia,madai yanaeleza kuwa mwanaume huyo alidai mtoto aliyekuwa akilelewa katika familia hiyo si wake, huku mke wake akidaiwa kuhusishwa na suala hilo. Tukio hilo limeendelea kuwavutia watumiaji wa mitandao ya kijamii, huku wengi wakijadili madai yanayoonekana kwenye video. Hata hivyo, ukweli wa madai hayo haujathibitishwa
MADINI TV
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 08:53:15 GMT
Music
Download
Comments
👑Zahra Zahra💞🌹 :
kuchapiw si sir ya ndan huy mzee vip mtt kosa lake nn aliomba kuzaliw kwan
2026-09-05 16:53:59
3
upendoomari677 :
hapana mtoto hanakosa jamani
2026-09-05 18:35:19
3
mcshupavu3 :
mtoto ana kosa gani jamani
2026-09-05 20:49:37
2
Ibra Joe :
mtihan
2026-09-05 20:24:44
1
kassim mgaya :
da hiikesi ningekuepo ningeinunua.
2026-09-06 07:35:17
0
mariamalmas :
mtoto hana hatiya siokweli
2026-09-06 09:30:10
0
H.H.H.🇹🇿V8 :
huyu ni mimi kabisa😅😅😅😅
2026-09-06 11:06:22
0
Faiter :
daaah huruma kabsa
2026-09-05 20:32:49
0
Hussein :
daaaah
2026-09-06 07:12:49
0
sarahfardeen :
Wanaume wanaojielewa.lakini mtoto hanakosa
2026-09-06 04:47:13
0
Doreen Shukran :
jamaniii
2026-09-05 16:42:10
1
Adela Abel shilinde :
mtt Hana kosa jamn walai mungu tupe hekima busara wanawake jamn
2026-09-05 19:07:53
1
Neema Deus :
wwwwww
2026-09-05 13:11:30
1
kanza roofing & decor :
😁😁ni taaruki
2026-09-05 12:16:54
1
Prishah outfit :
ana afya ya akili uyo Sasa mtoto ana makosa gani
2026-09-05 12:19:30
1
asia :
laana hiyo mtt ana makosa gani
2026-09-05 11:49:34
1
Rhobi Omwita :
na hao mashuhuda mazuzu kweli wanaangalia tu mtoto anapigwa
2026-09-06 07:18:50
0
Debam :
Huvi ndivyo inatakiwa maana kalea katoa matumizi kibao
2026-09-05 22:23:50
1
Kari :
mtoto umemuuliza nini.. kwani ni yeye alijitengeneza.
2026-09-06 17:12:46
0
To see more videos from user @madininews, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.