@akili_5000: Hii video ni miaka mi3 nyuma na hili deni alishamalizaga lote hii nimepost kuaonesha kua uaminifu ni kitu muhimu sana lugumi ni mwaminifu sana.

akili jumanne
akili jumanne
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 09:00:46 GMT
80196
5195
61
232

Music

Download

Comments

talktz_
talktz_ :
US$40 million ≈ TSh 63.92 billion in 2013.🔥🔥
2026-09-05 09:48:10
50
tanzania.63.99
~Tanzania 🇹🇿 :
1$-2,500/- (2,500 × 40,000,000) 100, 000,000,000 Billion 100😁😂
2026-09-05 15:25:54
2
___enrick
MEKU_PLUMBING :
Mtu anapunguza 40m Usd kwenye account kumkopesha Mtu , 🙌🏾🙌🏾
2026-09-05 10:37:27
37
hansdelacarter
C H I B I ♣️ :
40 au 14 million usd jamani tajiri mbona unatuchanganyaaa😳😳😳😳
2026-09-05 14:39:13
4
boscojmushi
boscojmushi :
Kukopeshwa dollar jau sna 2013 dolla moja ilikua 1500 saiv ni 2600 auoni hio ni riba tosha
2026-09-05 11:51:54
8
judey1013
Judey🇹🇿🇯🇵 :
ametaja ni term of dollar ili msizimie mkisikia🤣
2026-09-05 10:47:23
15
ahamadasaid5
Said ahamada :
14mlusd mashalah
2026-09-05 09:31:29
4
mriiiii21
Mr Miii :
the dead cant verify 😳
2026-09-05 13:20:17
1
ezzeezze1
The Don Complex :
Nidham na uaminifu ni kitu ambacho kime ibua matajiri wengi mnooo!! Ukimuuliza vizuri lugumi ata kwambia manji haku anza tuu kwa kumkopesha hyo dollar laki saba, Usikute alianza na dollar kumi tuu mpaka kufikia hapoo.
2026-09-05 11:59:46
12
bikeselller
Ian :
Kuna la kijifunza apa
2026-09-05 10:40:24
7
ulimwenguperfumes
Ulimwengu Perfumes :
Alikopa shilingi bilioni 105 mwaka 2013 mpaka mwaka 2023 ilikuwa imebaki shilingi bilioni 1.5. That say something a lot about Money!..Just think
2026-09-05 15:28:17
3
daddycool88
GoDWiLl :
40m usd du! sio poa
2026-09-05 17:25:47
0
ahmadi28146
ahmadi :
MWAKA 2013 1USD ~ Approximately 1600 hiyo ni kama BILIONI 64 Hivi ..
2026-09-05 17:34:15
0
jmk_2024
🌴 :
Ukiwa muamifu na hardworking ni rahisi kunyanyuka
2026-09-05 15:29:03
0
sinaleta
Sina LETA :
Daaaah
2026-09-05 10:46:49
1
user2185846009298
frola silvesta :
jamani wengine mnabahati namm naomba kwako mirioni tu babaangu mm ni mwaminifu na kilakitu kinanafasi yake nakuomba
2026-09-05 12:21:16
0
anthony.david715
Anthony David :
🔥🔥🔥 jamaa amenyoka sana niliwahi kumshuudia airport terminal 3 alaves njee ya mlango kawaita watoto wawili km wa miaka 6 hivi bila kujali ni watoto wanani akawapa kila mmoja dola mia mia alafu huyo akasepa na kijiji chake huyo uku anatolea puani da jamaa mnyamwezi huyu mungu azidi kumuongezea anaishi na watu vzr sana
2026-09-05 09:53:46
16
silver_mandago
SHIMLA COMPANY LIMITED :
Hiyo hela ndefu saaana aisee🙌🙌🙌🙌
2026-09-05 12:51:44
1
mtensastore
GM ONE :
Mimi sili dhurma...hii imekaaje
2026-09-05 17:00:13
0
sf_ctv
Ctv :
Tajiri anadaiwa mm ni nani😂😂
2026-09-05 13:49:00
0
mekumeku88
meku meku :
Du
2026-09-05 14:29:18
2
stamphord2
Justin stamphord :
ukiwa bilionea utakuw karb na mabilionea ukiw mzee wa kubet utakuw karb na wachez kamari
2026-09-05 13:13:56
4
To see more videos from user @akili_5000, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About