Maskin kaka wawatu ndio maana mm saingine nasemaga usijitoe sana kwenye familia utaondoka peke ako 🥲🙌
2026-09-05 09:41:50
264
ayshaayle :
Alikuwa nchi gan?
2026-09-05 10:03:12
45
Single_mom ♥️🥰 :
yaaan Freddy hao wanaolaumu ndugu zako hawaelew chochote ila sisi classmates zako tutapambania haki yako
##JUSTICE FOR FREDDY ####
2026-09-05 11:43:28
58
💔💔Real Neyismah💔💔 :
Eeeeeh mung naomba tujaalie mwisho mwemah🥹🥹🥹🥹🥹😭🥹😫🥹😭🥹😭🥹🥹
2026-09-05 11:49:50
0
zahra jooh :
hii sauti leo kila nikifungua tiktok inanijia 😭😭😭😭
2026-09-05 17:55:33
8
gel💫 :
nimeumia sana je alietumiwa iz voice note alichukua hatua ganiii 😮💨 duuuh msaada aliomba jmn mungu tusaidie vijana sis tunakufa wadogo
2026-09-05 09:34:25
90
Official B🦋🍓 :
It pained
2026-09-05 19:46:57
0
Be smart always :
Ndugu yake mbona hakwenda kufatilia
2026-09-05 10:32:35
25
Pretty ngingo❤️🩹🦋 :
🥹🥹🥹🥹dah kama Kuna uwezekano ndugu wangefanya hata kufatilia haki ya uyu kijana iLiii hta kama kafa pngne itampa amani huko alikoo mana wameshindwa kumsaidia akiwa hai bc ht wampe amani Fred apumzke kwa Amni 🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹 inaumiza sana
2026-09-05 09:33:31
39
officialrachel__ :
Uyu kaka kaniumiza dah 😔😭
2026-09-05 10:58:49
24
ancyqute3 :
Ko ameshakufa au🥺🥺
2026-09-05 13:18:34
22
W_A_R_D_A🦋👑 :
Maskin fredy daaah bad mdogo 🥺
2026-09-05 15:21:21
0
Ms Chemy99 :
Sijui walimuua kifo gani yarrabi🥺
2026-09-05 15:28:08
14
Babra Catie🛍️🎀 :
JMN TUNAOMBENI MSAAD NA SIO MUDA WAKULAUMIAN TUNAOMBA HATA TULETEWE MAITI TU 😭
2026-09-05 13:54:25
12
liliani :
ila alirudi vizuri tanzania sijui kilimrudisha nini tena comoro jaman
2026-09-05 13:45:33
18
careen😍 :
JUSTICE FOR FREDY
2026-09-05 11:45:44
0
bahajamnyeke :
familia zetu za kibongo ni wagumu sn kuelewa🥹tupunguze dharau mtu yupo kwenye matatizo bd mtu unakua mgumu kuelewa💔tupunguze kua watu kitu ndio mtu apate msaada,,,baharia tunaelewa hii situation ndio maana mtu anapotea miaka 20 au 30 coz familia hazina ushirikiano wao pesa ndio cha muhim🙌🙌
2026-09-05 15:59:14
9
Shuu 🎀 :
nimejikuta nalia wallah Allah ampe kauli thabit 😭
2026-09-05 15:21:56
10
g walawal :
Mtu unakosa cha kuongea Fred Shikaji leoo yakooo kesho yetuu pumzika kwa Amani🙏😭 haki yakooo inafuatiliaa classmates 💔
2026-09-05 10:40:35
9
rose1 :
Hii kitu imeniuma sana 😭
2026-09-05 09:59:22
16
P COSMETICS TABORA :
Nimejisikia vby sana siku yng imeharibika 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-05 10:14:17
16
The Female Anaconda 🐍 :
“Naweza nikafa ndani ya wiki hii inayokuja”. Embu imagine how hard this sentence is😣 a person amekaa anajihesabia masaa ya kufa hali ya kuwa haumwi chchte BUT HUMANS WHY WALLAHI WHY, MAY HIS SOUL REST IS PARADISE
2026-09-05 16:00:43
10
To see more videos from user @k2putin01, please go to the Tikwm
homepage.