@blessedwithwealthfavor:

ms_verah888🔮🧿
ms_verah888🔮🧿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 09:10:30 GMT
22526
640
81
84

Music

Download

Comments

eddojoyce4
Eddo Joyce :
watoto wakiniona wananikimbilia uncle uncle halafu nisiwapende acha yanikute tu kwanza watoto ni baraka wanapokupenda
2026-10-14 21:14:09
1
yakin534
user4681140769617 :
Mimi sipendagi watoto hata mazoea kabisa stak
2026-09-06 12:36:22
12
user3752729166062
Passcode lasway :
Mimi huwa nawakataa hao watoto sana Kwa sababu kesi za watoto ni ngumu sana kwenda jela ni kugusa tu
2026-09-25 23:27:47
9
georgewatson01
georgewatson753 :
mm sipendi mazoea hata kdog na watoto maan binadamu tunatafutiaga sababu sikuzote
2026-10-14 12:19:27
1
bin.1.habib
bin 1 habib :
Na mpk Leo napenda kuwapa watoto ikiwa ni sadaka yangu kwao Mmsifanyi baya usituhadaeee
2026-09-08 12:55:04
1
juliana.njamasi
Juliana Njamasi :
Kuna mtu namwambia kila siku Kuwa na mazowea na watoto wa watu hasikii
2026-09-05 17:53:44
7
ramadhansparepart
Ramadhani spare parts :
mimi hata wanafuzi nimkute analoa na mvua barabarani simbebii,, hata kidogo,,😥😥😥😥
2026-09-15 05:44:40
4
barakakingoni
barakaj4 :
Mimi nipokaa nimehamia kama miezi mitatu tu iliyopita lakini kuna katoto kama ka mwaka mmoja na nusu hivi kakiniona lazima kanikimbilie sasa hapo sijuwi nifanyeje maana hata kasiponiona kanakuja mlangoni kwangu kanagonga
2026-09-23 18:02:13
1
user9352051626225
Fatuma John :
Ni kweli kabisa sio vizr sana,ila dada hiyo nguo uliovaa nimeipenda
2026-09-05 10:54:07
0
msuya866
Msuya :
Epuka kabisa hayo mazoea
2026-09-26 07:38:20
2
lucy.mwaijengo734
lucy mwaijengo734 :
Naombeni mumsikilize huyu dada Vizuri, ukimsikiliza vizuri utamuelewa,now days dunia imeisha, mambo ni Mengi.
2026-09-22 04:36:42
5
user83787317681124
mr legacy :
mm ata sinaga mazoea na watoto wa watu
2026-09-08 12:18:07
2
ekilia41
she iz-eki ♥️ :
kun mm naambiwag roho mbaya na bor nionekane hv stakag mazoea na watt wa wat ctaki kabsa
2026-09-06 05:50:00
1
transport_logistics
CHILE_T.O. D'SM :
Mimi sio Watoto tu! yani mpaka mke wamtu,mchumba wa mtu. yan sitak kabisa mazoea nao kuna majiran hapa walinifuata kuomba wifi oyaaa majibu niliyo wapa hawajaamin.
2026-09-29 16:11:20
2
user67158242740430
mbukwa tiki :
una mawazo kama yangu asante kwa kunikumbisha
2026-09-08 06:46:23
1
rehema.collection7
Rehema collection :
Sema ww mm dada 👏
2026-09-05 18:39:24
0
festo.kp8
Festo Kp :
kwel kabca dada😊
2026-09-05 14:27:08
1
bin.1.habib
bin 1 habib :
Mm miaka nafanya hayo Hakuna shida
2026-09-08 12:54:31
0
barakabainon
Baraka mwasipaja :
ni kweli
2026-10-14 19:44:38
0
user88021775974
Tanga boy :
Aya kama nawaleta wangu zawad nawatt wengine wanakula wote naafanyaje nakuwanyima siwezi😢😢😢
2026-10-14 19:39:54
0
user4278778553851
mtanga zoka kulu :
kweli
2026-10-15 04:00:38
0
franciscodealm
Francisco de Almeida :
mi nakutaka ww
2026-10-15 06:10:13
0
zuckpeter
xuck peter :
nawambiaga hawaelewi,binadam hawana wema
2026-10-15 05:57:07
0
marcom952
Marcom Abdallah :
ett watoto ni baraka,Mimi hlo hakuna
2026-10-15 00:08:09
0
kyara1978
rose kyara official :
barikiwa
2026-09-05 19:17:33
0
To see more videos from user @blessedwithwealthfavor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About