huyu mtoto atakuwa na akili sana.maana ana uchungu na elimu
2026-09-05 17:55:53
251
Marry Gidion :
mtoto hajadai zawadi, kilichomuuma hajapewa hongeraa, hajaitwa jina lake kajihisi upweke na mbaya zaidi anasema mwalimu ajaona kama nimepambana jamn jaman hii vita hii sijuh
2026-09-05 18:57:22
194
__.naahstone🌸 :
Mwalimu shaban nakufata ulipo
2026-09-05 18:16:01
116
NEYTEM :
ni mtoto wangu kapata masomo yote 100 alafu kawekwa mtoto wa 34
2026-09-05 16:30:49
111
jasminjaph262 :
nunua zawad mpelekee mwalim ampembele ya wanafunzi la sivyo ataacha kujitahid
2026-09-05 18:07:52
189
RABIA_HEENA🖤 :
nimejisikia vibaya
2026-09-05 17:31:25
72
shue17 :
ila mwalimu shabani sijapenda kufanya mtoto Amelia kwa hisia hivi 😭