@bbsmediaonline: Ilichezwa 19 Julai 1977 kwenye Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Simba iliifunga Yanga 6–0, na huo bado unatambulika kama ushindi mkubwa zaidi katika historia ya Kariakoo Derby. ⚽ Wafungaji: Abdallah “King” Kibadeni — dakika 10, 42, 89 (hat-trick) Selemani Sanga (Yanga) — kujifunga, dakika 20 Jumanne Hassan “Masimenti” — dakika 60 na 73 #nyumbanikwakobilastress