@travic10: Sheikh Nurdeen Kishk amempata mama aliyetangaza kumtafuta baada ya kuguswa kutokana na mizunguko yake ya utafutaji riziki akiwa anaendesha baiskeli na mtoto mgongoni. Alitamani kufahamu ni kwanini anambeba mtoto mgongoni na kuzunguka naye kwenye biashara. Alimjibu kama ifuatavyo; "Nishafanya biashara sana ya kutembea kwa miguu, hadi kuuza asali mpaka nikachoka. Pia kumuachia mtu mtoto kwa kizazi tulichonacho, ni kizazi cha ukatili ndiyo maana nimeamua kufunga mtoto wangu mgongoni, nitembee naye. Akilia ninajua sasa hivi anataka kunyonya, anataka nimuogeshe, ana njaa au amechoka kubebwa nikae sehemu nimpumzishe kidogo ili tuendelee na safari" Amesimulia #MyAccountGrowth #tanzaniantiktok🇹🇿 #ContentCreatorInsightsIn2026 #tiktok #fyp
mungu amuinuwe uyo mama yangu kiafya na kiuchumi amen 🙏🙏
2026-09-05 11:16:53
20
azizh shaban :
Eeh mungu mtie nguvi mja wakoo 🙏🙏🙏
2026-09-05 13:16:49
5
Tiffah💞💝 :
najikuta nalia to mwenyew
2026-09-05 14:05:36
2
Halima Saidi :
bado atujajua Baba WA mtoto Yuko wapi
2026-09-05 11:25:54
1
BA Muu❤️ :
tumchangie apate ofisi ya kukaa sehem mmoja weka namba
2026-09-05 14:42:18
2
mchina jampany :
huyu mama niko tayar nimpatie milion kumi
2026-09-05 16:34:36
0
salumulkassimu :
pole sana
2026-09-05 10:46:52
1
user4670884281725d :
mungu nimwema
2026-09-05 10:41:13
1
Zilfa Hassan :
Alhamdulillah ya Allah🤲
2026-09-05 12:43:47
2
ummy muhammad :
nimejikuta nimelia wallah allah atakulipa khery mama kwa uvumilivu wako
2026-09-05 14:10:15
2
fashion Brandi dodoma :
daaah akikuwa mama yangu 😭😭😭
2026-09-05 14:39:29
1
Biaisha :
Allah atujaalie wanawake tunapitia magumu sana daaah aise daaah yaani naongea nasikia naumivu makali sana moyoni sababu nimeshapitia magumu sana kwa mwanangu daaah Allah atupe ngumvu yaraaabiiiii
2026-09-06 05:30:48
1
nasra abdulnasir :
Jamani wanaume mnaotutelekezea watot allah atawaadhibuu huy mama allah patie wepesi katik kila hatua apigayo sio sirii wanaume mnatuumiza sana kwahilii
2026-09-05 16:02:20
1
muba hktz🇹🇿 :
hiyo ndio kazi ya uongozi allah akulipe i.amu
2026-09-05 14:36:54
1
shungi faki shungi :
mashalhaaaaa munguuuiu akupe rizik ya kheri na we na akupeee wepesiiiii na şişi Amin
2026-09-06 07:20:02
0
lov missak🍁✅ :
mwenyezimungu amjalie kila la heri katika biashara zake amin🤲🏽🤲🏽
2026-09-05 16:41:56
1
Don mussa :
pole sana
2026-09-05 11:20:53
1
Amiri :
mama nakupenda sana na mm mama yangu amepitia kipindi kama icho ila baba zetu wanazinguwa sana
2026-09-05 16:28:07
1
TONY D ZANZIBAR :
mungu amuinuwe uyo mama yangu kiafya na kiuchumi amen 🙏🙏
2026-09-07 18:17:52
0
Aisha Juma :
mama angu Allah akupe umri mrefu akutie nguvu pia ya utaftji wako wa rizi Yako ya halali inshaalah
2026-09-07 19:24:08
0
ratifa :
mungu akutangungulie sheikh wangu kwa kumsaidia mama
2026-09-07 08:32:07
0
Paskalina Odo :
mungu tusaidie wanawake 😭😭😭😭😭
2026-09-06 16:26:21
0
kajembe :
shehe nurudini kihki mungu akupe umri mrefu mashalha hata mimi nili sha wahi kukutana na huyu mama mungu akulinde mko wachache sana inshalha mungu atakulinda
2026-09-06 10:21:39
0
user6945206152852 :
Inisha Allah Allah akufungulie baraka zote 🤲🤲🤲
2026-09-06 08:58:23
0
user9049423624363 :
pole dada hayo nimapito 2
2026-09-05 11:54:06
0
To see more videos from user @travic10, please go to the Tikwm
homepage.