@fatemagdewji: Mwamba wa Lusaka ameshare na mimi funzo kubwa kupitia maisha yake ya mpira, lakini ni jambo ambalo sote tunaweza kulibeba na kulitumia kwenye maisha yetu! Kuna wakati, ili kufikia matokeo unayoyataka, unahitaji kwanza kuwa na amani ya moyo na akili. Sio kwenye mpira tu, hata kwenye maisha ya kila siku, utulivu wa ndani una nafasi kubwa sana katika maamuzi tunayofanya na namna tunavyofuatilia malengo yetu. 🎙️ Tazama mahojiano kamili na Chama — link iko kwenye bio. // Mwamba wa Lusaka shared with me a powerful lesson from his football journey, but it’s something we can all take with us and apply to our own lives! Sometimes, to achieve the results you’re working towards, you first need to find peace of mind and peace within your heart. It’s not just about football. Even in our everyday lives, inner peace plays such an important role in the decisions we make and how we pursue our goals. 🎙️ Watch the full interview with Chama — link in bio. #MicroMomentsOfSelfLove #MwambawaLusaka #Chama
Fatema Dewji
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 09:45:52 GMT
Music
Download
Comments
it's Emma :
[Like][Like][Like]That's very true brother, peace and love are everything in life.
2026-09-24 06:29:23
3
Hamidugood imetuliya iyo Risha :
Yani chama anacheza cmba kimapenzi cyo kimaslahi
2026-09-24 10:19:27
17
user7800368546600 :
haswaaaaaa
2026-10-15 06:59:51
0
Catheline Elia :
kweriii kaka unaipenda sanaa simbaa🥰🥰
2026-10-12 05:21:59
3
user2126151953268 :
mwamba tuu nakwamini unafanyakazi kwa uweledi sana
2026-09-24 18:28:46
9
hidayaatum :
ongera kwa upendo wadhati na simba
2026-10-10 19:27:31
2
Dully Oceanvibes🎵 :
It's all about LOVE and no More 🫶🏻✅
2026-09-23 03:09:21
1
Haack@99 :
Raha ya kufanya kazi ni kufanya ukiwa happy ❤️❤️
2026-09-21 16:30:14
8
William's daughter :
Mungu akubariki Kwa kuona hivo♥️♥️♥️🙏
2026-09-21 09:38:41
5
fakhadmo :
yaaaah
2026-09-19 12:04:00
3
ezzy katoro :
great
2026-09-23 09:10:39
1
julianus niwagira julius :
yec simba nguvu 1
2026-09-25 08:37:52
2
user1949115901918 :
nakubar simba nguvi moja
2026-09-23 16:05:46
3
no body :
The reality people escape
2026-09-05 10:45:33
6
oliverlenard :
Chama wetu 🥰🥰🥰
2026-09-23 17:31:59
2
my african beauty :
mungu akupe maisha marefu
2026-09-21 18:39:48
2
joyce :
safi sana chama
2026-09-24 22:59:03
2
josephat :
kweli kaka
2026-09-20 17:41:36
2
Sepetustore :
Kifupi amani ya moyo ndo kila kitu 🙌🏾🥂
2026-09-09 15:12:41
3
Ommyjr717 :
super man
2026-09-07 07:56:10
1
elizabeht hamadi :
chama kula maisha msibazi [Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-20 05:22:05
1
Emmanuel Kengele :
very amazing
2026-09-05 19:47:20
3
Nkuba Zengo :
mungu akuongeze maisha malefu
2026-09-22 18:11:36
1
𝑀-𝑂-𝑇-𝐼-𝑉-𝐴-𝑇-𝐼-𝑂-𝑁 :
very well chama
2026-09-07 06:38:32
1
Mrs Mehboob Jaffer :
well said bro....🥰🥰🥰🥰
2026-09-06 06:29:42
2
To see more videos from user @fatemagdewji, please go to the Tikwm
homepage.