@__dady770: #creatorsearchinsights #tiktoktogoviral @๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ๐ŸŒป msingida ๐ŸŒป๐ŸŒป @singida finest ๐ŸŒป๐ŸŒป๐Ÿคฒ๐Ÿคฒ๐Ÿ™ @๐‘๐ธ๐ธ๐ฟ๐‘ƒ๐ป๐ด...๐Ÿฆ‹ @๐‘‡๐ธ๐ธ...๐Ÿฆ‹ @nuraty Shaban Osman @fishboy @BEBERU97

แดษชแด‹ษชแด…แด€แด…ษช
แดษชแด‹ษชแด…แด€แด…ษช
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 09:51:03 GMT
4449
220
38
25

Music

Download

Comments

hamimi5755
hamimi5755 :
kumbe ndomaan nikijiangalia nizahiri kwamba bongo bahati mbaya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-05 11:54:25
3
bint.ommy3
Bint Ommy๐Ÿฆ‹๐ŸŽ€ :
Me nishafika kwetyu bado wew tyu kaka angu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป
2026-09-05 10:21:56
3
ntandu40
Ntandu๐Ÿ’ช :
makala ua jina wanayaturu waliitwa na wanyamwez,kipindi wanawinda walikuwa upande wamashariki na magharibi walikuwa wanyamwez,wanyamwez wakaitwa anyamweri na wanyaturu kipindi wanawinda walikuwa wanafuata mguu wa mnyama kwa kusema mghuu tr'uru,jamii ilikuwa ya warimi na wakaja kugawanyikia pale alipopata vijana wawili 1 akaenda upande wa kaskazn mwirwana na wa kusini akaitwa mwahi aiseeeee hii storia taaaamu taamuu
2026-09-05 18:14:52
2
clementlazaro
clementlazaro :
we dingi nashindwa kukuelewa mm najua mnyaturu inatokana na uwindaji kwamba walikuwa wanafuatilia unyayo wa mnyama wanasema turu, turu ndo wakaitwa wanyaturu pia mwanzoni walijulikana kama waremi usiseme labda bhana
2026-09-05 20:20:35
1
sammyhosny
sammyhosny :
warimi
2026-09-05 18:34:52
2
tausi388
๐‘‡๐ธ๐ธ...๐Ÿฆ‹ :
naishiwa pawa
2026-09-05 12:47:17
1
mohammadhussein022
ู…ุญู…ุฏ ุญุณูŠู† ู…ุญู…ุฏ :
Alaa! kumbe kwetu Ethiopia ๐Ÿซข
2026-09-05 17:40:08
2
niphar81
๐‘๐ธ๐ธ๐ฟ๐‘ƒ๐ป๐ด...๐Ÿฆ‹ :
Tuletee part2 nataka nijue nani alituswaga kutoka kwetu Ethiopia mpaka katuleta singida saiv ningekuwa bado nina miak 10 ona saiv sasa niko na miaka70๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™ˆ๐Ÿค’
2026-09-05 10:58:39
1
user451524052039
CHIF BBQ ๐Ÿ—ก๏ธ :
ulivowaza uko sahihi mana uliwaza ila jina tumepewa na wanyamwzi uko usifikirie pitia historia yake kwa undani mzee wangu sio uliwaza sana io apana
2026-09-05 23:17:34
0
khalifajumannekwi
Khalifa jumanne kwimba :
si kweli huyo jamaa msimuliajitupo tayar niwambie historia halisi
2026-09-05 21:37:35
0
mosesorgenes
Moomaspectacle :
waethiopia
2026-09-05 18:02:11
0
mr.suntz
king๐Ÿ’ซ of destiny :
warimi ndo jina la mwanzo
2026-09-05 19:20:46
1
user2987224923261
Njaghamba :
warimi
2026-09-05 19:32:43
1
jjack87
jjack87 :
mzee hajui kabla ya kuitwa wanyaturu waliitwa waremi
2026-09-05 19:47:08
1
stanlissu
stan lisu :
sisi ni warimi,chimbuko ni ethiopia
2026-09-05 19:05:18
1
ibrahim.msafiri3
Ibrahim Msafiri :
waremi
2026-09-05 19:30:24
0
salmini.khamisi.r
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ๐ŸŒป msingida ๐ŸŒป๐ŸŒป :
Waethiopia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-05 10:11:47
0
singidaboy92
mjengi jr........ :
๐Ÿ˜๐Ÿ˜sio ughai turu hapana ukisoma histori ya kitabu cha mdachi kinaeleza warimi walikuwa wawindaji walikuwa walienda kuwinda na wanyamwezi walimlenga mnyama na mkuki aka kimbia na mkuki sasa wakawa wana mfatilia kwa nyuma ๐Ÿ˜ wakawa wanaonyesha wanyamwezi unayo wa mnyama huyo wakiwa wanasema turu turu turu mughuu๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
2026-09-05 22:35:11
0
miriam.ifuja5
Miriam Ifuja :
Kabla ya kuiywa wanyaturu ealiotwa warimi
2026-09-05 18:08:30
0
wardawalika
waalika ๐ŸŒป ๐ŸŒป ๐Ÿ’›๐Ÿ’šโ˜ช๏ธ :
kabla ya wanyaturu ni waarimi
2026-09-05 18:16:17
1
salmini.khamisi.r
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ๐ŸŒป msingida ๐ŸŒป๐ŸŒป :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-05 10:10:53
1
nyaturu.king4
singida finest ๐ŸŒป๐ŸŒป๐Ÿคฒ๐Ÿคฒ๐Ÿ™ :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-05 10:52:21
1
jj_en_1
JJ :
๐Ÿ˜‚
2026-09-05 21:42:57
0
mikidaditz1
MiQDAD :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-05 09:53:03
0
To see more videos from user @__dady770, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About