@esko_donald: Kiasi cha shilingi Elfu 20 kinamtosha mama Faraja kulipa kodi kwa mwezi mmoja, hivyo kwa miezi 6 atalipa laki na ishirini. #0723654885 Voda (THE UMBRELLA FOUNDATION) #TheUmbrellaFoundation furaha yetu ni kuona Wanafurahi!

Esko Donald
Esko Donald
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 10:01:40 GMT
351093
34166
421
196

Music

Download

Comments

faddyfinest_
Faddy🙅🏿 :
"GIZANI ILA KUNA UTULIVU" hili neno lina maana kubwa sana
2026-09-05 10:12:46
1597
_katibu1
Katibu_ :
Kuna Giza ila kuna Amani "[utulivu]😭
2026-09-05 10:07:36
551
wardito04
wardito :
Huyu mama kila sehemu alipo ojiwa amesema ukweli yupo tufauti sna mungu amuongoze
2026-09-05 10:41:21
527
leemoneypoint8
Linah Dee🍯 :
Me nadaka simu uku jaman🙌huyo mtoto jaman😁
2026-09-05 10:19:13
106
ventovw987
Vento VW :
Kwanini msiweke number yake mhusika.. au mnataka kutumia fursa
2026-09-05 12:26:50
45
najma.suleyman
najma birian kahama :
Jamani msisahau kumpigia kura esko ingia kweny page yake kweny bio pale utakuta link then utamchagua tumchague jaman ashinde anastahili ushindi🙏
2026-09-05 10:11:11
63
isimbula.jumaa
ISIMBULA :
nataka niwakumbushe wanawake wengine kuwa mmemuona mama huyo? anapambana na kutafuta rizki ya familia yake huku anamtoto mgongon kesho kijana kakua huyo, na anaoa au kuolewa halaf kabint kawatu au kijana kanakuja kumtusi mama wa mwezie au binti kalelewa kwa tabu halaf kijana unamtusi mama mkwe wako, unamtesa binti wawatu heee jman niwakumbushe kua watu wengine tumelelewa kwa tabu sana eeh mungu walinde mama zetu
2026-09-05 11:41:05
74
happie1362
happie :
msisahau kumpigia Esco kura jamani
2026-09-05 12:13:02
105
aikah221
Aikah👧♋️ :
GIZANI ILA KUNA UTULIVU🙌🥹 Tunapaswa kujua kuridhika na Kukubaliana na kila hali tupitiayo kwa wakati huo🙌 Kila mwenye Uvumilivu na kuridhika M/Mungu AWAJIBU KWA WAKATI MAOMBI YAKO! Na tuseme AMINA🙏🫂
2026-09-05 22:23:08
13
shaazy804
Shazzy804🦋 :
Hatiii huruma me ananikosha❤️
2026-09-05 11:52:40
40
bahat.abassi
Bahat Abassi :
Mungu nijaalie moyo wakukinai kama wauyu mwanamke mwenzangu
2026-09-05 16:50:56
16
ebiamichael
kamamaa ❣️ :
Zingatia neno UTULIVU🤌
2026-09-05 10:30:06
96
2ppatz
2ppaTz :
Duh Nyumba Haina Umeme Lakini Anasema Mazingira Mazuri. Kweli Utulivu Ndy Kila Kitu.
2026-09-06 06:00:13
19
sabrimwinjuma
Swabr .M. Nyawale :
Ni nyumba ya Giza ila inautulivyu elewa neno UTULIVU...
2026-09-05 11:15:44
48
tumally01
* :
maashallaah hata kama ni kidog alichonacho anaonesha kuridhika na kuendelea kupambana "Alhamdulillaah"
2026-09-05 13:16:03
7
bi_rehema
Bi_rehema :
Moyo wenye Shukran
2026-09-05 12:14:13
28
user20121633849374
user20121633849374 :
ilewa neno uturivu mungu akubariki dada
2026-09-05 11:33:43
8
muhidiniabdulrazaq7
muhidiniabdulrazaq7 :
Ni nyumba ya Giza lakini Ina utulivu 🥺🥺🥺 maneno mafupi yenye kuonyesha shukran
2026-09-06 02:22:26
7
mwinyiheribakari
Mwinyiheri Bakari :
(mazingira anayo kaa yako vizuri )vijana tujifunze kuona thamani kwa vile tulivo navyo sasa neema ya mungu ipo tuendelee kutafuta
2026-09-06 05:01:41
5
jasmin13896
Jasmin❤️ :
Utulivu 🥰
2026-09-05 10:39:57
8
happiness14026
happiness :
utulivu ni muhim kuliko ubora ni nyumba ya giza ila Ina utulivu
2026-09-05 10:28:30
12
user968696681684
janie :
zingatia utulivu jmn kuna nyumb nyingine ni majungu na maugomvi tuu kila siku
2026-09-05 11:33:53
8
nabirahakimu
Nabira Hakimu :
Kuliko akalale kwenye mwanga na hakuna UTULIVU hiyo nyumba ni bora kuliko gorofa yenye kelele.
2026-09-05 10:55:16
7
middy_piccolo
Middy piccolo :
Daah 🙏🙏
2026-09-06 16:05:24
3
iqbal23c
Iq-bal :
Sema hakuwa na tamaa
2026-09-07 12:27:02
0
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About