may Allah grant u all the goodness in this world and hereafter
2026-09-08 06:47:18
2
… :
Yarrab usichukue roho zetu hadi pale utakapoturidhia,utujalie khusnul khatima utuepushe na adhab ya kabri kwani sisi waja wako ni madhaifu yarrab
2026-09-06 09:04:17
62
NAJLEYM_001 :
allah atujaliee mwisho mwrmaa🥺ameen
2026-09-06 20:28:32
1
B U S H R A 💫🫦 :
Subhanallah nimejikuta nikiugua ndani yangu na machozi 😭 yakinitoka hawa ndy vipenzi vya mtume swallalahu a'laihi wa sallam rehema na amani ziwe juu yao je mm nawewe tutaacha athari gani pindi tutakapotoweka kwenye uso wa dunia?
Allahumma jaa'lni khusnul khaatima 🤲 🥺
2026-09-06 08:31:34
14
YEEBAAA :
ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA NA ATUKUTANISHENA MTUME WETU PENDWA MUHAMMAD RASULUALLAH NA MASWAHABA ZAKE WOTE 🤲🤲🤲 AMIN AMIN RABIL ALAA MIN 🤲🤲🤲
2026-09-05 21:50:54
19
Toni :
Allah awazidishie kheri na baraka katika makaburi Yao wapiganaji wa kweli waliokufa katika vita za kuusimamisha uislamu
2026-09-06 08:04:01
11
Abdullah Suwed Mikidadi :
Dah nimejikuta moyoni mwangu napata huzuni kubwaaaa sanaaa ewe Allah tujaalie tufe hali yakuwa ni waislam na pia tuna mwisho mwema amin
2026-09-06 13:51:07
7
zebra_costa :
Aaah ya rabby
2026-09-06 10:22:23
2
leather crafts :
Kwani bilali si radhi allahu anhu mbona sijaona Jina lake likiambatanishwa, kuuliza tu
2026-09-06 15:55:22
2
Mohamed😎 :
S.A.W
2026-09-06 11:19:13
1
pretty thum🥰😍 :
bilali alifia wapi na je ukoo wake hadi Leo Bado upo au??
2026-09-06 11:37:43
2
Rembo the one :
Allahumma swali alaa sayidina wa nabiyyina muhammad wa'ala a'alihi wa as-habihi wasallim ajmai'in
2026-09-06 06:04:09
6
ragy :
mashallah kwa hkika watu wanalimpenda mtume na walikuwa na mahaba nae
2026-09-06 15:05:23
4
user8161779844594 :
baraka Allahu feek
2026-09-06 04:54:21
2
ABU ALI24 :
Allahuma swali Ala Muhammad wa Ala Ahliy wasalam
2026-09-06 09:20:36
3
muzayyaf sultan :
اللہ اکبر 😭😭😭
2026-09-06 09:53:47
2
NOUFAL :
mashallah
2026-09-05 21:10:48
2
… :
Allah atujalie na sisi tuwe miongoni mwa waja wema peponi na mtume wetu muhammad(s.aw)…Amin thumma Amin yarrab🤲🏻
2026-09-06 09:02:37
5
ibrahimusaid190 :
Allah akbar
2026-09-06 12:06:09
1
ibrahimusaid190 :
Allah
2026-09-06 12:05:46
1
Ramso :
historia bilal 😭 badaa kuondka mtume alikuwa akimwagka machoz na huzni daah naipenda sana historia yk
2026-09-06 12:15:55
2
Asmaakhan Collection :
Allaah Akbaar
2026-09-07 09:28:18
1
White Diamond :
shukrani 🥰🥰🤲
2026-09-07 07:03:49
1
ayubu26 :
inshaallh😅😁😁
2026-09-07 22:57:46
0
To see more videos from user @abuumuhammad01, please go to the Tikwm
homepage.