@oneminutewithsheikhjamal: Mwenye akili ni yule anayeamua kuiacha dunia kabla dunia haijamuacha. Hajiifungi na starehe zake, wala hafanyi dunia kuwa mwisho wa safari yake. Ya Allah tufanye tuwe miongoni mwa wale wanaoiacha dunia kwa hiari kabla haijatuacha kwa lazima. Tujalie mwisho mwema na utujaalie Jannatul Firdaus. Aamiin. 🤲🏽 #islamicreminder #oneminutewithsheikhjamaludin #fyp #muslimtiktok #trendingvideo