@mwenye.nchi: Huyu na mam ake mkubwa Bi msumi anadhani watanganyika hatujui kinachoendelea. Mara ooh ujombani, yote ni kujisafisha tu ila tunapajua mlikotoka
Yeah...the constitution and the sovereignty of the Government can never be runned with the links of hypothesis from the roots of any kind...religious, tribalism, societies,and even political parties...😇
2026-09-06 06:34:18
0
alice :
raisi mzanzibari makamu mzanzibari kweli 😳😳😳
2026-09-05 11:14:26
40
Daniel :
Nyerere alikuwa mnafiki mkubwa matatizo yote ya sasa chanzo ni yeye.
2026-09-05 21:43:01
59
👆 :
Mama samia mitano Tena.
2026-09-05 17:02:35
34
goligani22 :
Shida ni Wazanzibari au Shida ni Waislam???
2026-09-05 14:04:37
30
machano :
mbona Watanganyika wabaguzi ivoo raisi wa zanzibar mbona katoka huko huko 😭
2026-09-05 12:24:00
36
yahyer7 :
Next president❤️✅💯
2026-09-05 17:54:43
1
me MP :
kumbe haya mambo ya Zanzibar na Tanganyika yameanza zamani
2026-09-05 17:25:32
21
Nyang'ombe :
ila Mwalimu Hawa watu wa Zanzibar uliaribu sana kutuunganisha nao
2026-09-05 20:13:58
10
Kahazi26 :
sasa uislamu na uzanzibar unahusikaje hapa... hawa viongozi wana chuki kubwa na uislamu
2026-09-05 21:12:22
14
white sky :
KWANN ULITUUNGANISHA NAO? KAMA VIPI KILAMTU IBAKI KWAO
2026-09-06 06:38:53
4
Mr Mtu Kwetu :
kwani vazi km hili hajawahi kuvaa marehem magufuli jee kawa muislamu lini ? lkn musipotoshe viongozi wa Tanzania ni kawaida wakienda mazikoni au harisini inategemea wanaemwendea kule ni dini gani kwaio huvaa kulingana na mazingira yalivyo ni kawaida acha kupotosha
2026-09-05 15:42:55
12
EL AbdouL :
dah, iLa ndugu Zetu Wa tanzania bara muna shids gn jmn. cc Tanzania sote ni moja 🥺
2026-09-07 08:22:09
1
Sasha Money🌺 :
kama mwalimu alichoka ss tupo hoi uku baba na ao wazanzbar 🥲🥲
2026-09-05 18:13:13
0
MDJ :
katiba yenyewe ya zaman inasema raisi akitoka tanganyika makamu zanzibar na kama raisi akitoka zanzibar basi makamu tanganyika inakuwaje raisi ni mzanzibar na makamu mzanzibar
2026-09-06 09:09:12
0
myaatwins :
Mungu ibarik Tanzania tuepushe na mahasidi wanaotaka nchi yetu iingie vitani Mwenyezi Mungu tupe nusra wauwane wenyewe!
2026-09-07 09:28:52
1
Mauasadani :
Watanganyika.wapo kimya.madarakani awasemii
2026-09-05 12:14:50
7
Chesco Babloo :
TATIZO LIKO WAPI KWANI
2026-09-05 12:23:23
5
Arafat :
hapo nyerere alikua anawaonya watanganyika kuhusu kuwapiga vita wa Zanzibar na hapo ukimsikiliza vizuri alikua na nukuu vile watanganyika wakiongea kuhusu wazanzibar na alikemea vikali kauli kama hizo za kusema "tumechoka na wazanzibari"
2026-09-06 18:50:03
2
Bandeke John :
(EE MUNGU IBARIKI TANZANIA).
2026-09-06 11:46:59
2
SHABIKI MAARUFU/ MTUMBA :
nyerere. alikuwa mbele ya mda sana🥰
2026-09-05 23:14:21
2
freemind751 :
@freemind751:@freemind751:Kwani mzee alilazimishwa kuungana na zanzibar? Angebaki na Tanganyika yake akawaacha wazanzibar na zanzibar yao. Zanzibar ilikuwa ni nchi kamili yenye uchumi na utawala wao, zanzibar ilikuwepo na ingeendelea kuwepo hata kama tusingeungana
2026-09-05 17:44:09
1
POPO'S MIXIOLOGIST (cocktail) :
Mzanzibar anashida gani kuiongoza bara, huo niubaguzi tu
Mbona watanganyika wanaongoza pia wazanzibari, ukabila na udini wekeni pembeni tunacho hitaji nicmaendeleo yetu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na tutalisawazisha hilo kwenye katiba Mpya hii tulio iomba naiponjiani kuipitisha.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa nasisi tuwe namaendeleo Makubwa ya mapinduzi ya kiuchumi.
Amin
2026-09-06 20:21:51
2
Manazil abrary :
endeleeni na chuki zenu ila pia chadema mlisema ni ya wachaga
2026-09-06 16:12:06
2
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm
homepage.