@celline_mollel: PART 1(Do not despise a small beginning) Kutana na Dunia. 🎓 Ana degree ya Tourism, lakini leo anakutana na maisha barabarani akiuza mayai ya kuchemsha. 🥚 Si kwa sababu hakusoma. Si kwa sababu hana ndoto. Ni kwa sababu wakati mwingine, maisha yanakulazimisha kuanza na ulicho nacho. Dunia aliamua kutokaa kusubiri ajira akaanza biashara ya mayai ili kujipatia kipato na kuendelea kusimama. Degree haikufanyi uwe na aibu kufanya kazi.
nmeangalia this video 3 times nikaja kutambua kitu..
Huyu nimesoma nae 3 years UDOM we all graduated with one thing..currently yeye hana assurance ya maisha 🥺 anamka kwenda kutafta na hajui hata anapoend..mm niko naamka asubuhi najua where to go..sijajipata bado lkn atleast najua naend wapi kila nikiamka and end of the month I will get paid..Tujifunzen kumshukuru Mungu kwa vidogo vyetu..hicho unachokiona kidg kwa mwingne ni kikubwa sanaa 🥺.. End of the day lets give things time..our time will come
2026-09-05 18:01:28
182
_Iam.Pascaltz🇹🇿 :
Huyu Msela Nilikua Namuona UDOM Pale HUMANITY🥺
2026-09-05 19:36:15
58
Simple boy😎 :
Tupo wengi mm ata ayo mayai sina 😂
2026-09-05 22:07:46
35
kudrah :
kwa mara ya kwanza numemuona mtu niliyesoma nae
2026-09-06 03:03:04
79
ms_marsy🎀 :
Proud of you brother 🥹
2026-09-05 11:09:20
53
Medrin :
Aaaaw😍delivery wetu wa UDOM very nice person mda wa kufunga alikua anatukumbusha kufunga
2026-09-05 17:18:28
144
Dommie 🇹🇿🥷🏽 :
Very humble Guy
2026-09-05 21:57:12
2
smiler1911 :
Udom food and water Delivery 🔥🔥🔥🔥
2026-09-05 18:48:56
5
lilac success :
deliver wangu huyu,hizi kazi amezoea
2026-09-05 17:56:53
36
scottiie💪⚽ :
😂😂Anko anko wa humanity 💪💪😂😂
2026-09-05 19:58:35
2
gee_lanbel :
Jmniii uyu kaka ani dm nimuonganishe kwa mzee wangu ampe ajila yoyote
2026-09-06 08:08:22
24
Ms Gift💕 :
Delivery wetu wa chakula Udom jamani🥺
2026-09-05 18:07:35
29
Samwel Honora :
brother jina alimekupnza😅
2026-09-05 13:38:06
41
kid kiom boy :
bro hard
2026-09-05 13:18:15
0
Cute_Tems :
Nyieh maishaa😫🙌💔
2026-09-05 15:35:54
15
umwizakaddie :
Delivery wetu❤️🥹
2026-09-05 18:16:23
1
ARIES GAL❤️🔥🔥 :
sio kwa ubaya ula tuwe tunaangalia na majina ya kuwapa watoto
2026-09-05 18:43:42
19
Franklin Ngowi :
niko tayari kumpa maujanja ya kazi
2026-09-05 18:55:57
8
pony dollie🦋 :
God bless dis Man 🙏❤️
2026-09-05 11:36:58
11
Henry Muhile :
siku inabidi tujiulize kwani. atuwezi kuishi kama binadamu kwa kazi yoyote halali iwe uuzaji mayai,udaktari,ufundi ujenzi, na kazi nyinginezo. Elimu kisiwe chanzo cha kuwa na Ujinga bali tujitambue na tuione thamani y kil binadamu...
2026-09-05 13:15:26
21
♥️Nicole 🫧 :
Am a Batman 🙂↔️🙂↔️
2026-09-05 17:06:47
7
Vee onayra🍒😘 :
Jmn kamaliza udom kijana wetu familia kabisa🥺🥺
2026-09-05 16:43:10
8
Comfort 💖 :
bachelor of tourism and cultural heritage
batch
2026-09-05 17:55:21
7
sasha :
Alinza kuharbu mzazi kumpa jina la dunia😅😅ndo anahangaika nayo dunia saiv
2026-09-06 10:13:03
2
To see more videos from user @celline_mollel, please go to the Tikwm
homepage.