Salamu ya Ndacha ndio mafundisho ya Yesu sio salamu zingine wanazotunga
2026-09-06 03:54:54
0
Eddy150 :
Hemu kaka Ndacha nikuombe uwafundishe Wakristo wenzako kusalimia Kama ulivosalimia: mana hivi ndivo Yesu alisalimia🥰 20:21 yohan. Yesu akawambia tena AMANI IWE NANYI🥰🥰
2026-09-05 17:40:51
2
Sabkiu Nassib :
Allah aupe nguvu Uislamu
2026-09-06 00:35:52
1
kimwinyi khamisi :
Yesu sio rahisi awe Mwenyezi Mungu MUUMBA DUNIA na Juu PEPONI..... YESU kaumbwa na mwenyezi Mungu pasipo na shaka yoyote vile, ndio maana YESU Kazaliwa na mama wakibinadamu na kunyonyeshwa kama mwanadamu wa kawaida
2026-09-05 22:11:18
1
🥦💚デク💚🥦 (alt) :
Begottenson mungu kasema ? Fanya research Nani kasema Neno hili
2026-09-06 04:14:56
0
SUPREM-LEADER_20% :
huu mjadala umezingatia itifak hili ni darasa tosha
2026-09-05 18:17:21
0
Adui kubwa :
Hongera xn mwalm ndacha umeanza kuelewa ukweli
2026-09-05 16:49:17
0
King Li :
maandiko yapo mengi ya kuonyesha kuwa YESU Kristo ndiye Mungu mwenyezi na hakuna miungu wawili kama unavyofundisha watu...hii imani yako ya kuwa kuna Mungu mmoja ni mwenyezi halafu mwengine ni Mungu junior...ni imani potofu na haipo kwenye Biblia Takatifu.